Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

🤣🤣🤣Alipiga uturn pale kwenye kutoweka kwa iryn
Pale ndo story narration yote aliibadil,waliosoma literature kwa hobby kama mie nilimsoma🤣
Na ukiisoma kwa makini uhai wa story uliishia pale
Anyways,good story👌
Mie nashukia hapa faya 🤣🏌️🏌️🏂🏄
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ...ila bhn pale demu anakuita chumbani kwake afu unaleta Mapenzi ya kikorea aisee Ni wazi huyu jamaa hakumla huyu manzi.....anajaribu kutupanga tu baada ya kuona comments nyingi watu hawawezi muelewa inabidi ajaribu UTURN bro!!!!
 
Fact. Hii story kimsingi ilishaisha.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Same too me
 
Hata mimi ningedoo that ningempelekea moto wa hatari[emoji23]
 
Ungekua na majukumu hiki ni kitu kidogo sana.
 
Nyie vipi mbona shobo nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…