kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 709
- 1,881
nisamehe bure kiongozi, mimi nimetoa tu mtazamo wangu sikuwa na nia mbaya kama ulivyofikiri. am so sory.MKUU ACHANA NA MARIOO WAPO BED HAWANA SHUGHULI ZA KUFANYA WAO MUDA WOTE WAMEPAKATWA MAPAJANA WANAINGIA JF MUDA WOTE KAZI KUSHAWISHI SIKU YA J3, J4, J5 UWEKE STORY USIWASIKILIZE HATA NUKTA.
Sent using Jamii Forums mobile app
TUPO PAMOJA USIJALI NIMEONGEA INGENERAL MKUU KWA NIA NJEMA TUU.nisamehe bure kiongozi, mimi nimetoa tu mtazamo wangu sikuwa na nia mbaya kama ulivyofikiri. am so sory.
Nimeanza kuisoma hii hadithi juzi nilitegemea mpk nafika episode ya mwisho hadithi hii itakuwa imeisha...
Sasa ndo nmeelewa kwanini watu wanalalamika kwanini inisaida hashushi episode [emoji1][emoji1][emoji1487]
[emoji1][emoji1][emoji1] ww hutak kubishanahata mimi wakati naanza nilijua mpaka replies zimefika 3k( nilikutaga wapo hapo) basi uzi umeisha waaaaiiu ndo kwanza mabishano ya kuwa story ni Chai ndo kama yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila watu bwana[emoji119][emoji119][emoji119]
kama huwez vumilia uongo achana nao mbona easy sana wengine hatujali[emoji706] kama ni uongo si ni dhambi yake na MUNGU wewe unaumia nn??
Usibishe usilolijuamadereva wa taxi mtandao hasa hasa wanaoendesha magari ni waongo hatari. Yaani ukikaa nao kijiweni story zao ni hizi hizi. mara nikambeba mama wa kizungu akanipenda akaniachia dola 200 na binti yake akaanza nishobokea nikamla na siku nimembeba rafiki yake akalewa sana nikajikuta nimelaza siti na kuanza mpelekea moto. yaani story zao wote ni story za kufanikiwa, hawajawahi kufeli.
Hii kizazi kina vijana wa ovyo sana. Sijui taifa na dunia hii tunaipeleka wapi. Just assume vijana wa ovyo namna hii ndo watakuja kuwa wazee wa busara baada ya miaka 30 ijayo.
[emoji1][emoji1][emoji1] ww hutak kubishana
Hivi unadhani upngo Kama huu atapata zambi kweli?hata mimi wakati naanza nilijua mpaka replies zimefika 3k( nilikutaga wapo hapo) basi uzi umeisha waaaaiiu ndo kwanza mabishano ya kuwa story ni Chai ndo kama yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila watu bwana[emoji119][emoji119][emoji119]
kama huwez vumilia uongo achana nao mbona easy sana wengine hatujali[emoji706] kama ni uongo si ni dhambi yake na MUNGU wewe unaumia nn??
Acha kabisa man,....najitahid lkn naona bado siendi,mdogo mdogo ntawakuta TuUko mbali Sana mkuuu[emoji23][emoji23][emoji23] Hadi ufike huku una Kaz siyo kidg
Hata mimi mkuu😂Nimedindisha
Kama iryn anafanana hivi, basi mapenzi ni kipofuIryn na muajemi.. [emoji2][emoji2]View attachment 2734182
Kama iryn anafanana hivi, basi mapenzi ni kipofu
Kama ni chai , agiza chapati mkuu utulie zakohata mimi wakati naanza nilijua mpaka replies zimefika 3k( nilikutaga wapo hapo) basi uzi umeisha waaaaiiu ndo kwanza mabishano ya kuwa story ni Chai ndo kama yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila watu bwana[emoji119][emoji119][emoji119]
kama huwez vumilia uongo achana nao mbona easy sana wengine hatujali[emoji706] kama ni uongo si ni dhambi yake na MUNGU wewe unaumia nn??
Mi niliwah kuendesha Uber mwanzon kabisa zilipoingia katika research ya biashara. Ukiwa na gar kali safi pafyumu nzur na wewe umevaa vizur bro hichi kitu anachoongea huyu jamaa ni cha kawaida sana. Na wakati mwingine Mungu na watu wake mzee huwez kupima mipango yake kwa mtu.madereva wa taxi mtandao hasa hasa wanaoendesha magari ni waongo hatari. Yaani ukikaa nao kijiweni story zao ni hizi hizi. mara nikambeba mama wa kizungu akanipenda akaniachia dola 200 na binti yake akaanza nishobokea nikamla na siku nimembeba rafiki yake akalewa sana nikajikuta nimelaza siti na kuanza mpelekea moto. yaani story zao wote ni story za kufanikiwa, hawajawahi kufeli.
Hii kizazi kina vijana wa ovyo sana. Sijui taifa na dunia hii tunaipeleka wapi. Just assume vijana wa ovyo namna hii ndo watakuja kuwa wazee wa busara baada ya miaka 30 ijayo.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]madereva wa taxi mtandao hasa hasa wanaoendesha magari ni waongo hatari. Yaani ukikaa nao kijiweni story zao ni hizi hizi. mara nikambeba mama wa kizungu akanipenda akaniachia dola 200 na binti yake akaanza nishobokea nikamla na siku nimembeba rafiki yake akalewa sana nikajikuta nimelaza siti na kuanza mpelekea moto. yaani story zao wote ni story za kufanikiwa, hawajawahi kufeli.
Hii kizazi kina vijana wa ovyo sana. Sijui taifa na dunia hii tunaipeleka wapi. Just assume vijana wa ovyo namna hii ndo watakuja kuwa wazee wa busara baada ya miaka 30 ijayo.
Umeona Sasa.......wengi mmeanza kusanda[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]