madereva wa taxi mtandao hasa hasa wanaoendesha magari ni waongo hatari. Yaani ukikaa nao kijiweni story zao ni hizi hizi. mara nikambeba mama wa kizungu akanipenda akaniachia dola 200 na binti yake akaanza nishobokea nikamla na siku nimembeba rafiki yake akalewa sana nikajikuta nimelaza siti na kuanza mpelekea moto. yaani story zao wote ni story za kufanikiwa, hawajawahi kufeli.
Hii kizazi kina vijana wa ovyo sana. Sijui taifa na dunia hii tunaipeleka wapi. Just assume vijana wa ovyo namna hii ndo watakuja kuwa wazee wa busara baada ya miaka 30 ijayo.