Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

MKUU ACHANA NA MARIOO WAPO BED HAWANA SHUGHULI ZA KUFANYA WAO MUDA WOTE WAMEPAKATWA MAPAJANA WANAINGIA JF MUDA WOTE KAZI KUSHAWISHI SIKU YA J3, J4, J5 UWEKE STORY USIWASIKILIZE HATA NUKTA.

Sent using Jamii Forums mobile app
nisamehe bure kiongozi, mimi nimetoa tu mtazamo wangu sikuwa na nia mbaya kama ulivyofikiri. am so sory.
 
Nimeanza kuisoma hii hadithi juzi nilitegemea mpk nafika episode ya mwisho hadithi hii itakuwa imeisha...
Sasa ndo nmeelewa kwanini watu wanalalamika kwanini inisaida hashushi episode [emoji1][emoji1][emoji1487]
 
hata mimi wakati naanza nilijua mpaka replies zimefika 3k( nilikutaga wapo hapo) basi uzi umeisha waaaaiiu ndo kwanza mabishano ya kuwa story ni Chai ndo kama yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila watu bwana[emoji119][emoji119][emoji119]

kama huwez vumilia uongo achana nao mbona easy sana wengine hatujali[emoji706] kama ni uongo si ni dhambi yake na MUNGU wewe unaumia nn??
 
[emoji1][emoji1][emoji1] ww hutak kubishana
 
madereva wa taxi mtandao hasa hasa wanaoendesha magari ni waongo hatari. Yaani ukikaa nao kijiweni story zao ni hizi hizi. mara nikambeba mama wa kizungu akanipenda akaniachia dola 200 na binti yake akaanza nishobokea nikamla na siku nimembeba rafiki yake akalewa sana nikajikuta nimelaza siti na kuanza mpelekea moto. yaani story zao wote ni story za kufanikiwa, hawajawahi kufeli.

Hii kizazi kina vijana wa ovyo sana. Sijui taifa na dunia hii tunaipeleka wapi. Just assume vijana wa ovyo namna hii ndo watakuja kuwa wazee wa busara baada ya miaka 30 ijayo.
 
Usibishe usilolijua
 
hata mimi wakati naanza nilijua mpaka replies zimefika 3k( nilikutaga wapo hapo) basi uzi umeisha waaaaiiu ndo kwanza mabishano ya kuwa story ni Chai ndo kama yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila watu bwana[emoji119][emoji119][emoji119]

kama huwez vumilia uongo achana nao mbona easy sana wengine hatujali[emoji706] kama ni uongo si ni dhambi yake na MUNGU wewe unaumia nn??
Hivi unadhani upngo Kama huu atapata zambi kweli?
 
hata mimi wakati naanza nilijua mpaka replies zimefika 3k( nilikutaga wapo hapo) basi uzi umeisha waaaaiiu ndo kwanza mabishano ya kuwa story ni Chai ndo kama yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila watu bwana[emoji119][emoji119][emoji119]

kama huwez vumilia uongo achana nao mbona easy sana wengine hatujali[emoji706] kama ni uongo si ni dhambi yake na MUNGU wewe unaumia nn??
Kama ni chai , agiza chapati mkuu utulie zako
 
madereva wa taxi mtandao hasa hasa wanaoendesha magari ni waongo hatari. Yaani ukikaa nao kijiweni story zao ni hizi hizi. mara nikambeba mama wa kizungu akanipenda akaniachia dola 200 na binti yake akaanza nishobokea nikamla na siku nimembeba rafiki yake akalewa sana nikajikuta nimelaza siti na kuanza mpelekea moto. yaani story zao wote ni story za kufanikiwa, hawajawahi kufeli.

Hii kizazi kina vijana wa ovyo sana. Sijui taifa na dunia hii tunaipeleka wapi. Just assume vijana wa ovyo namna hii ndo watakuja kuwa wazee wa busara baada ya miaka 30 ijayo.
Mi niliwah kuendesha Uber mwanzon kabisa zilipoingia katika research ya biashara. Ukiwa na gar kali safi pafyumu nzur na wewe umevaa vizur bro hichi kitu anachoongea huyu jamaa ni cha kawaida sana. Na wakati mwingine Mungu na watu wake mzee huwez kupima mipango yake kwa mtu.
 
madereva wa taxi mtandao hasa hasa wanaoendesha magari ni waongo hatari. Yaani ukikaa nao kijiweni story zao ni hizi hizi. mara nikambeba mama wa kizungu akanipenda akaniachia dola 200 na binti yake akaanza nishobokea nikamla na siku nimembeba rafiki yake akalewa sana nikajikuta nimelaza siti na kuanza mpelekea moto. yaani story zao wote ni story za kufanikiwa, hawajawahi kufeli.

Hii kizazi kina vijana wa ovyo sana. Sijui taifa na dunia hii tunaipeleka wapi. Just assume vijana wa ovyo namna hii ndo watakuja kuwa wazee wa busara baada ya miaka 30 ijayo.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Soma kama story na sio true story wala hutapata tabu bali utaburudika, vitabu tumefundishiwa huko mashuleni ni vya kufikirika tu.
 
Back
Top Bottom