Mkuu nimeona tag yako kule sina access napo ubarikiwe sanaMwamba unaupiga mwingi..Kongole kwako bro
Hahahaa yeah umenikumbusha maana naona now mamluki mesg zao hazitambi sana yaani mtu ana snitch message moja tu anashangaa haijibiwi kumbe raia tumekubaliana ku ignore 😂Huwaga sisi hatubishanagi na watu kama hawa kwenye huu uzi tushakubaliana yaani unagusa tu jina yake then ANGALIA neno ignore gusa pale utakuwa umepunguza muda wa jazba,hasira na kuenjoy story.
Nimekuja cousin ngoja nitafute nilipoishia
Mzee jumaa ana maelekezo tayariSasa sijui itakuwaje Insider ile Dualis maaana Jane hajui kama ni ya kwake, alafu teyari keshajengewa Nyumba na mzee Pama. Kibongobongo unaweza ukaikaushia kila mtu afe na chake nawaza tu lkn sijui wewe ulifanyaje? maana we mzee wa kuchagua dhambi...kanisani sana alafu unawalamba. any way wacha tuone ilikuaje
Nafsi lazima itakusuta hutakaa kwa amani!Sasa sijui itakuwaje Insider ile Dualis maaana Jane hajui kama ni ya kwake, alafu teyari keshajengewa Nyumba na mzee Pama. Kibongobongo unaweza ukaikaushia kila mtu afe na chake nawaza tu lkn sijui wewe ulifanyaje? maana we mzee wa kuchagua dhambi...kanisani sana alafu unawalamba. any way wacha tuone ilikuaje
Huko kunaitwa kichagua dhambi, unachotamka ndio kinajengeaka... nataka kujua tu Dualis ilienda kwa Jeni?Nafsi lazima itakusuta hutakaa kwa amani!
Mali ya dhuluma haidumu unaeza pata mikosi bure
Mzee juma ni rafiki na msiri wa marehemu mzee Pama. Kumbuka hiliSasa sijui itakuwaje Insider ile Dualis maaana Jane hajui kama ni ya kwake, alafu teyari keshajengewa Nyumba na mzee Pama. Kibongobongo unaweza ukaikaushia kila mtu afe na chake nawaza tu lkn sijui wewe ulifanyaje? maana we mzee wa kuchagua dhambi...kanisani sana alafu unawalamba. any way wacha tuone ilikuaje
Imeishia Episode 45 Msiba wa mzee Pama tusubiri episode 46.
Huo ndio ukweli ukibisha subiri chai hapaHahahaa yeah umenikumbusha maana naona now mamluki mesg zao hazitambi sana yaani mtu ana snitch message moja tu anashangaa haijibiwi kumbe raia tumekubaliana ku ignore 😂
Sawa mkuu ngoja tusubirie tuoneImeishia Episode 45 Msiba wa mzee Pama tusubiri episode 46.
Kwa maana msiba wa mzee Pama ulisababisha INSIDER akaacha kazi ya rubber & bolt akawa na mishe nyingine wakati huo Boss Iryne yupo.Sawa mkuu ngoja tusubirie tuone
Nahisi Jane alimuhakikishia maisha Naona imekua ghafla sana kwa insider kuacha biashara ya Uber.. au Mzee Pana alidhamfanyia koneksheni labda!!Kwa maana msiba wa mzee Pama ulisababisha INSIDER akaacha kazi ya rubber & bolt akawa na mishe nyingine wakati huo Boss Iryne yupo.
Kama kwa Jane kuna maisha na bado kwa Iryne hapo INSIDER ana nafasi nzuri ya kujijenga kimaisha.Itakua Jane alimuhakikishia maisha Naona imekua ghafla sana kwa insider kuacha biashara ya Uber.. au Mzee Pana alidhamfanyia koneksheni labda!!
Ngoja tuone!
Kabisa mkuu ana bahati sana !Kama kwa Jane kuna maisha na bado kwa Iryne hapo INSIDER ana nafasi nzuri ya kujijenga kimaisha.
Kabisa mkuu, dhuluma dhambiNafsi lazima itakusuta hutakaa kwa amani!
Mali ya dhuluma haidumu unaeza pata mikosi bure
Tusubiri mwendelezo tujue ilikuwajeKabisa mkuu ana bahati sana !