Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Huwaga sisi hatubishanagi na watu kama hawa kwenye huu uzi tushakubaliana yaani unagusa tu jina yake then ANGALIA neno ignore gusa pale utakuwa umepunguza muda wa jazba,hasira na kuenjoy story.
Hahahaa yeah umenikumbusha maana naona now mamluki mesg zao hazitambi sana yaani mtu ana snitch message moja tu anashangaa haijibiwi kumbe raia tumekubaliana ku ignore 😂
 
Sasa sijui itakuwaje Insider ile Dualis maaana Jane hajui kama ni ya kwake, alafu teyari keshajengewa Nyumba na mzee Pama. Kibongobongo unaweza ukaikaushia kila mtu afe na chake nawaza tu lkn sijui wewe ulifanyaje? maana we mzee wa kuchagua dhambi...kanisani sana alafu unawalamba. any way wacha tuone ilikuaje
 
Mzee jumaa ana maelekezo tayari
 
Nafsi lazima itakusuta hutakaa kwa amani!
Mali ya dhuluma haidumu unaeza pata mikosi bure
 
Sasa sijui itakuwaje Insider ile Dualis maaana Jane hajui kama ni ya kwake, alafu teyari keshajengewa Nyumba na mzee Pama. Kibongobongo unaweza ukaikaushia kila mtu afe na chake nawaza tu lkn sijui wewe ulifanyaje? maana we mzee wa kuchagua dhambi...kanisani sana alafu unawalamba. any way wacha tuone ilikuaje
Mzee juma ni rafiki na msiri wa marehemu mzee Pama. Kumbuka hili
 
Back
Top Bottom