SMARTER GHOST
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 298
- 1,258
Mtu unaishi kasulu huko, kazi kupalilia michikichi. Lazima upagawe ukisikia watu wanapewa nauli laki tatu huko Daslam. Shida ni wewe mkuu!Hii stori chai zimejaa mpaka nimemaliza chapati zote aisee jamaa muongo kinyama yaani yeye Kila mtu ataempa hela hua anatoa kuanzia laki 3 hamna tajiri anaetoatoa hela ovyo ovyo eti nauli tu aisee uongo umejaa sana madereva Uber mnazidisha sana chai aise
Kojoa ukalale Kuna aliye kuita hapaHii stori chai zimejaa mpaka nimemaliza chapati zote aisee jamaa muongo kinyama yaani yeye Kila mtu ataempa hela hua anatoa kuanzia laki 3 hamna tajiri anaetoatoa hela ovyo ovyo eti nauli tu aisee uongo umejaa sana madereva Uber mnazidisha sana chai aise
Mimi sio tajiri lakini kuwapa jamaa zangu laki 3 au 5 jambo la kawaida sana tu. Kuna rafiki yangu nime msamehe million 2 kwasababu alianza kupunguza mawasiliano na mimi nikajua huyu hataki kulipa tu. Kwahio acha nimsamehe ili urafiki wetu ubaki
nimefikiria kwa hekima ya Mzee Pama lazma awe amemshirikisha rafiki yake wa dhati kuhusu hiyo Dualis ya mchepuko wake.Sasa sijui itakuwaje Insider ile Dualis maaana Jane hajui kama ni ya kwake, alafu teyari keshajengewa Nyumba na mzee Pama. Kibongobongo unaweza ukaikaushia kila mtu afe na chake nawaza tu lkn sijui wewe ulifanyaje? maana we mzee wa kuchagua dhambi...kanisani sana alafu unawalamba. any way wacha tuone ilikuaje
miongoni mwa biashara ambazo lazma nije nizifanye ni hyo ya USAFIRISHAJIHivi INSIDER MAN bajaji biashara dogo yule ilkuwaje?
Nataka nione mli manage vipi biashara ya Bajaj .....najifunza Mengi the way unaongelea hizi biashara za vyombo vya usafirishaji aseeh !
Blessed!
KuchaguA TITLE ya kitabu au stori sio kazi rahisi,,,,ndio maana waandishi wengi wa vitabu huwa wana watu wao wa muhimu wanaowashirikisha kwa kila jambo.Mimi mpaka Sasa Sijaona maajabu ya uyo mrembo aliyekutanishwa na INSIDER ndani biashara ya Uber.....vingine vyote alivyosimulia naona kawaida tu.
Sijui Kwa wenzangu...
Lazima alimkabidhi mwenye nayo Jen. Hata ingekuwa mimi baada ya msiba tu namkabidhi ndinga lakeHuko kunaitwa kichagua dhambi, unachotamka ndio kinajengeaka... nataka kujua tu Dualis ilienda kwa Jeni?
"Amtunze na kumwangalia mchepuko wake"INSIDER MAN pole sana ndg, kwa kuondokewa na kumpoteza mtu muhimu sana kwenye harakati zako za utafutaji, naamini Mzee alikuachia jukumu kubwa sana la kumlinda na kumwangalia mchepuko wake pamoja na kijana wake ambaye atazaliwa, japo sijui kama ulilifahamu hili jambo mapema mzee Pama alikuamini na kukupenda sana kama rafiki na kijana wake, hivyo ni jukumu na wajibu wako kuendeleza ile imani aliyoijenga kwako japo kimwili hayupo tena pamoja na wewe lakini naamini kiroho huko alipo bado anaendelea kukufuatilia,
Ushauri wangu kwako kijana, jenga na endeleza imani uliyoiweka kwake wakati yupo hai na hata sasa timiza yote aliyokuasa uyafanye hasa kumlinda na kumwangalia mchepuko wake!
Naamini hapa Insider hawezi play foolish maana mzee alimchukulia kama kijana wake, hivyo anapaswa kumweshimu mchepuko wa mzee kama mama mdogo na asiweke tamaa za mwili mbele!"Amtunze na kumwangalia mchepuko wake"
Bila shaka ameelewa Hilo maana huwez kulima pasipo na mpango wa kuvuna na huwez kuvuna pasipo ya kulima
Bibilia imeliweka hili vizuri maana inasema huwez kukusanya pasipo kutawanya
Kwa upande wangu nadhani anatakiwa amliwaze, kwa maana ya kumfariji kwa Sasa katika kipindi hiki kigum baada ya kumkabidhi gari, akae nae mbali.Naamini hapa Insider hawezi play foolish maana mzee alimchukulia kama kijana wake, hivyo anapaswa kumweshimu mchepuko wa mzee kama mama mdogo na asiweke tamaa za mwili mbele!
Haya matukio your yameahapita ila nafikiri njia sahihi ni kuendelea kuwa nae karibu na kumwangalia kama vile ambavyo marehemu mzee Pama alipokuwa hai alimwagiza kijana afanye, kikubwa ni nidhamu na heshima tuu maana mzee alimwamini na kwa muda mfupi alimfanyia kijana mambo kadhaa na hii ni kutokana na uaminifu na imani iliyojengeka baina yao, hivyo akiendelea kuwa karibu na mama mdogo siyo dhambi kikubwa ni kutoweka matamanio ya mwili mbeleKwa upande wangu nadhani anatakiwa amliwaze, kwa maana ya kumfariji kwa Sasa katika kipindi hiki kigum baada ya kumkabidhi gari, akae nae mbali.
Wasiwasi ni kwamba naye ni mwanamke baada ya kuJifungua atapata huduma zote za uzazi fine. Baadae kitawasha mkuu unadhani hapo itakuaje?Haya matukio your yameahapita ila nafikiri njia sahihi ni kuendelea kuwa nae karibu na kumwangalia kama vile ambavyo marehemu mzee Pama alipokuwa hai alimwagiza kijana afanye, kikubwa ni nidhamu na heshima tuu maana mzee alimwamini na kwa muda mfupi alimfanyia kijana mambo kadhaa na hii ni kutokana na uaminifu na imani iliyojengeka baina yao, hivyo akiendelea kuwa karibu na mama mdogo siyo dhambi kikubwa ni kutoweka matamanio ya mwili mbele
Dah, naamini atakuwa anajitambua na kujiheshimu na akifika huko atatafuta mtu mbali wakumtimizia haja zakeWasiwasi ni kwamba naye ni mwanamke baada ya kuJifungua atapata huduma zote za uzazi fine. Baadae kitawasha mkuu unadhani hapo itakuaje?
Umenichekesha mkuu. Mimi kama insider namkabidhi gari take vizr kabisa.Tufanye wewe ndio insider vipi utaisalimisha au utabaki nayo ili iwe kumbu kumbu ya kumuenzi mzee pama
Duh hiyo haiwezi kuwa kumbukumbu zaidi itakuwa ni wizi na utapeli, na hiyo gari itageuka kuwa mateso kwako maana kumbuka marehemu huwa hawafiUmenichekesha mkuu. Mimi kama insider namkabidhi gari take vizr kabisa.
Kiufupi Kuna mambo hubakigi kama laana tu ukikausha