Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Insider ana nafasi kubwa sasa ya kuwa anajimegea mchepuko wa mzee Pama kwanza amekuwa naye muda mrefu wakati akimsaidia kusimamia ujenzi wa nyumba na mafunzo ya u dreva.Ni swala la muda tu hayo ndiyo maokoto kwa lugha ya mjini.
 
Mimi sio tajiri lakini kuwapa jamaa zangu laki 3 au 5 jambo la kawaida sana tu. Kuna rafiki yangu nime msamehe million 2 kwasababu alianza kupunguza mawasiliano na mimi nikajua huyu hataki kulipa tu. Kwahio acha nimsamehe ili urafiki wetu ubaki
We muongo hata 500 ya mihogo ya chai kesho huna ndio uweze kutoa hiyo pesa ila sishangai maana jamii forum kweli wote mnapesa aisee 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi nitaendelea kulaumuuu hii kitu Demu anakuita chumbani alafu kwa maelezo ya msimuliaji Ni pisi kali afu hauli mzigo umerogwa????......WW Ni mwanaume kamili kweli????.......jinsi lilivyo pimbi mda mwingine linamfuata chumbani kupiga story na kuchekeana tu......this is simply ulofaaa tu.....
 
Kwa maoni yangu, kwa kuwa msimuliaji hajamla Iryn na inaonekana hakufanikiwa kumla basi episode inayomhusu mzee Pama ni bora kuliko story nzima inayomhusu Iryn.
Ni maoni yangu tu haya wakuu na yaheshimiwe tafadhali.
 
Tufanye wewe ndio insider vipi utaisalimisha au utabaki nayo ili iwe kumbu kumbu ya kumuenzi mzee pama
Hahahaaaaa mzee unanitega, lazima niendelee kuitumia ili kila nikiendesha nimkumbuke mzee Pama R.I.P.
Jeni mwenyewe mchepuko anaiba mme wa mtu,kila mtu afe na chake, alafu jane si ndio alimpalula Insider vile vyombo alivyopewa na mzee Pama. Kwanza Jane hatoi Tips wala nini kwa Insider mie ningemchinjia baharini tu,. Napita na Dualis kulia yy kushoto hata kwenye Mirathi dualis haijatajwa sasa ya nini kijisumbua kumpa mtu kitu hakipo wala hakijui.
 

Hiyo list Yako ni batili linapokosekana jina la Analyze.....mpee maua yake....

Unamuachaje kwanza Analyse
Noted👍
Ongeza @kondamsafi
Noted 👍
Noted 👍..... Lara1 bado sijasoma thread zake ila kwa Analyse haina kubisha, huyu ni 💥💥
Kama umeoa sio kila anaekuja mbele yako wakumla unakaribisha mikosi na mabaya kwenye maisha yako na ndoa yako.Be faithful
Ndani ya Kipindi kifupi nimesoma Threads nyingi sana baada ya hio comment 👆👆 hapo juu. Aisee nimekuja kukutana na visa na Mikasa ni hatari ndugu zangu. Haya maisha yana vingi vya kujifunza yani si masiara ndugu zangu.
HAWA JAMAA HESHIMA SANA KWENU
1. leadermoe R. I. P
2. UMUGHAKA
3. LwandaMagere
4. JBourne59 Salute Sana Mzee wetu🙋🙋🤚
5. KigaKoyo
6. INSIDER MAN
7. Analyse
8. BM X6
9. konda msafi

Bado naendelea Kuzisoma kwa kasi sana nitazidi kuiongeza List. Very Inspiring Live Life Stories, Salute Sana!!!
 
Jinsi ya kuzipata hizi story unafanyaje? Maana nimejaribu kusachi haziji.

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
'kumiliki' hapana, ila huwa napiga kiana nafasi inapopatikana, last week alipita tabora hapa anaenda kigoma nikamfungia Ndani siku 3, then akaendelea na safari yake.

Hii story nzuri, ila ulikuwa sahihi mzee.
Nilikuwa interest sana na ile yako.
Sifa ulizozitoa ni vitu vyangu, napenda kula nguruwe aliyenona....mkuu
 
Ndg, unatakiwa utambue siyo kila mwanaume kipaumbele chake ni ngono, ila kila mvulana anaweza kuwaza ngono kila muda kama unavyofanya wewe, kutokea hapo naamini sasa unaweza kuona kati yako wewe na msimuliaji ni nani pimbi na lofaa, watu makini siku zote wako kuangalia fursa na kutafuta hela, ndg na siyo ngono
 
Naona 'hate na jealous' kwenye huu uzi..Mtu anatokea huko alipotokea anaanza kusema ooh chai hii, mara uongo, mara fix (ila kimyakimya anasoma) mara jamaa kawashika na blaa blaah nyingi

Sawa ni chai tumekubali na tumeandaa vitafunwa vya kutosha, tena msimuliaji nasemajee ongezea viungo vingi ikolee

Baadhi ya watu wanakosa Exposure na Experience kwa hiyo mshikaji akisimulia watu wanaona ni jipya kwao, jamaa anasema uongo, unatupiga kamba...daah

Kila mtu ana njia yake ya maisha (milima na mabonde,nuksi, mikosi, balaa, nyota, bahati na kismati). Sasa mtu amepata zali lake bado unaponda


Lets be positive guys, uandishi sio kazi rahisi.. Na kingine wengine hawaelewi Story kuna muda mwingine inakuwa True ila kuna baadhi ya visa vinakuwa vya kubuni ili kunogesha story. Haohao wanaopiga madongo ukiwaambia wakutungie story hata kidogo tu mnatafutana hapa nakwambia Trust me!

Mwisho wa yote hayo lengo la Story ni kujifunza, kuelimika, kuburudika n.k! [emoji120]

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…