Umeona eeehhh!!!Ukikutana na mwanamke asiye na hizo njaa 2 ,pesa na love, jasho lazima likutoke tuuuu ..yan hawa ni wao ndio wakupende vinginevyo ihiiiiiiiiii!!πππππ
Sasa atakosa vyote, ana mkosa Iriny, ana mkosa Insider, anakosa cost zake zote alizo.wekeza. work done = 0Muajemi hajui kucheza na akili ya mwanamke, anafundishwa kutongoza unajua kilichomuathiri muajemi ni pesa. Pesa inakufanya ujihisi mwanamke yeyote unammudu na waweza mpata muda wowote kumbe hamna kwahiyo likija suala la kutongoza unajikuta mweupe pewee peer peer ndio unajikuta unatoboa na Siri za mwanaume mwenzio.
Muajemi ni mmoja ya Kati ya wanaume wapumbavu Sana sijapata kuona.
Katika mapambano ya kumpata mwanamke hatakiwi ajue chochote kuhusu Nani yupo behind the scene Yani aliyefanikisha kilakitu Hadi mwanamke na mwanaume wakakutana na kuzungumza. Sasa analeta ushamba wake wa kiuajemi huko anatoboa Siri.
Wahindi wa waajemi Lao moja mbwa hao.
Nakwambia! Insiderman alipitia msoto wa jobless hataki masihara kwenye hela! Yuko tayari kumuuza yeyote (naogopa kusema hata Mama J na Junior) anaweza kuwauza ili apate hela! Alichokuwa anamfanyia iryn sio poa kabisa!Katika watu siwapendi kwenye hii story ni Mama J na Prisca kwa sababu mama J alikusababisha ukaanza kumcheat ugomvi kidogo tu anakimbilia nyumbani yaani kaniudhi pia Prisca kaniudhi tu kwa sababu king'ang'anizi ona sasa kajibebesha mimba yaani hapo mawazo yake akibeba mimba akizaa nae atakuwa sawa na Mama J,
Katika watu uliowakosea sana ni Iryn anavyokuchukulia tofauti na unavyomchukulia yaani yeye amekufanya mtu special sana kwake lakini wewe unamuona kawaida tu ni hizo hela zinakufanya uendelee kubakia nae, tamaa ya pesa inakufanya mpaka unajitahidi kumuunganisha na Muajemi ni afadhali ungeongea nae tu kishkaji bwana Muajemi anasema anakupenda sana anataka kukuoa lakini ana wake 2 halafu uone reaction yake lakini wewe unawasiliana na Muajemi kwa siri halafu unaendelea kumsukuma Iryn huko pia kwa siri siri huu ni urafiki wa aina gani
Ila kwa lile dau alikuwa anapokea toka kwa muajemi hata ingekuwa mimi nisingeachaπInsider UNASUTWA! Mwee mwee mweeee
Bado etiNimemaliza episode ya 39
Hivi kmmk Iryn hajaliwa tu??
Episode 50 natabiri Lyn anaumaliza mwendo; tuvute punziNimemaliza episode ya 39
Hivi kmmk Iryn hajaliwa tu??
Haliwi mtu ... wa kula Iryn bado hajafungua uzi hapa JFEpisode 40 natabiri Lyn anaumaliza mwendo; tuvute punzi