Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hii story episode zikiwa zishafika zaidi ya 30 sasa kidogo ni overtake sasa ni mwendo wa kusubiria episode .so annoying .anyway thanks insider man kwa kutubirudisha
 
Hivi najiuliza insider hilo jukumu la kumlinda nakumuangalia mchepuko wa marehemu mzee pama analitimizaje ,kwakua anaenda kumsalimia au kumlinda kama askari.
 
Naamini Muajemi aliamua kufunguka kwa lyin kwa sababu lyin alimwambia ana Mpenzi ambaye ni Insparderman .hivyo Muajeni akaona anachechewa kamchezo ikabidi afunguke kuwa Mbona amekula hela zake nyingi ili amuunganishie lyin .

Ndicho lyin alichukia Sana na kuamua kujichanganya siku hiyo na kuamua kumwonyeshea Insparderman.
 
Inamake sense flan hivi [emoji122]
 
Ulifanya vizuri kumpa ushauri Muajemi. Hapo kwa Sumaiya[emoji23], wacha nitafute Episode inayofuatia but una moyo wa kwenda kutafuta zana.
 
Muajemi atakuwa kazingua[emoji23]...Kwamba maDeal yenu kamwambia Iryn![emoji23]
 
Naona Muajemi umemaind mwanangu
 
Hii mitaa yangu ya kishua kabisa. Ndoto yangu ni kuishi Bwiru One day. Upepo mwanana mazingira tulivu kabisa.
 
Hii mitaa yangu ya kishua kabisa. Ndoto yangu ni kuishi Bwiru One day. Upepo mwanana mazingira tulivu kabisa.
Yeah man huko tulikuepo kabla hakujawa palivyo leo,, mitaa ya press,, kwa komba, bwiru boys na girls, Aict Ziwani kote tumevuruga sana na wana,, Leo ukitaja mitaa expensive Mwanza lazima Bwiru iwe miongoni mwa top 3,, kuna unyama mwingi sana kule,, mijengo ya maana,, beach view flan ivi amazing kama Texas,, Nitarudi Mwanza,,
 
Dah aisee[emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…