Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hili dude ilifaa liwe katika mfumo wa movie yaani series fulani hivi,, Bongo movie wanafeli wapi,, wakati maokoto yapo huku,, kitu kina uhalisia kabisa wa maisha yetu na wala haiitaji bajeti kubwa kuifanya hii,,

cc
DStv Tanzania
azamtvtz
startimes
Bongo Movie wapi tena .
Bongo Movie kanumba alikufa nayo.
 
Moyo wangu ulipiga paaah!, Moyo uliniuma sana, niliumia sana jamani. Hakuna siku ambayo niliumia kwenye maisha yangu kama hii na nilipatwa na hasira sana.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe muda wote unaremba remba sas unaumia nn mkuu?
 
@kocha Nabi oyaaa,anzisha uziwako mzee usitubanie madini tuzidi kuburudika hapa
 
Mkuu[emoji23]...Ukawaza Dakika zote zile alikuwa anapigwa[emoji23]
Pole mzee.
 
@kocha Nabi oyaaa,anzisha uziwako mzee usitubanie madini tuzidi kuburudika hapa
😆😆 Uzi wangu utafungua kode nyingi za watu kibiashara na njia zao za kuingiza mizigo, assume kutoka kumaliza bachelor, nkaingia boda nkaja kukutana na huyo dada aliyechange life hadi na mimi kuwa mfanyabiashara ninayeagiza vitu nje sio poa.
Ukimuelewa insider umeelewa story yangu
 
Hili dude ilifaa liwe katika mfumo wa movie yaani series fulani hivi,, Bongo movie wanafeli wapi,, wakati maokoto yapo huku,, kitu kina uhalisia kabisa wa maisha yetu na wala haiitaji bajeti kubwa kuifanya hii,,

cc
DStv Tanzania
azamtvtz
startimes
Bongo movie hamna kitu. Hata kuiga tu wanafail. Wenyewe wapo tu kwa ajili ya kuonyesha mavazi,na mack up tu. Ningekuwa na hela kuna hiki kitu unakichanganya na cha BMX6 na kigkayo vyote vinahusu maisha. Unaweza kutoa kitu kikali sana ukiwa serious. Kitu kikali cha matuzo.
 
Ajabu wanaota ndoto za kuchukua Oscar Awards siku moja,, yaani
 
mkuu hyo ya kigkayo inaitwaje nami nataka niipitie
 
Story hii nafikiri ni moja ya story bora kabisa kuwahi kuandikwa hapa JF.

Nampongeza sn Mkuu INSIDER MAN kwanza kwa uandishi wake wa viwango vya hali ya juu ukizingatia kwamba anayapanga matukio katika hali ambayo inamfanya msomaji awe na suspense ya kujua nini kinafuata kwenye mtiririko wa hii story.

Nimetumia siku 4 kuanzia eposod ya kwanza mpk hapa alipoishia huyu mwamba, nimesoma huku nikifuatilia matukio kama kuna sehemu either kajichanganya lkn to be honest sikuona. Na hii ndiyo inaonesha kuwa hii ni true story cos anakwenda day after day, week after the same etc. etc.(according to my analytical eye) kwa hii story.

KILICHONIVUTIA
1. Sehemu nyingi za ukanda wa kuanzia Posta kurudi kaskazini yote ya Dar nimezunguka sn maeneo yale na barabara zote pamoja na maeneo mengi anayoyaeleza msimuliaji nimekuwa nikiyapita so nilikuwa naenda naye bampa to bampa.

2.Msimuliaji ana bahati sn ambayo ni 'unique' hizi bahati zinawapata watu wachache sana. It's God given!

3.Kuna mtu humu amekuwa akicomment hii story na neno lake moja tu la 'NUKTA ' yeye hana maneno mengi kwenye coments zake kiasi ambacho naye amekuwa kivutio...

4. Kuna wajuba walimshukia Ndg INSIDER kwa nguvu ya 5G kuwa mwandishi anayoadithia ni 'Chai' kiasi ambacho kilipelekea uzi kuchafukwa na mwandishi kutaka kuwithdraw ila nguvu ya wana JF iliwazima kama moto wa kibatari.

USHAURI:
Mkuu INSIDERMAN napenda niungane na wana JF wachache waliodokeza kuwa weka kitu hiki kwenye kioo( TV) utengeneze hela. Nahakika na kwasababu unatembea na bahati usishangae unapiga hela kupitia contracts na wadau wa tamthilia kama Dstv or Azam
 
mkuu hyo ya kigkayo inaitwaje nami nataka niipitie

How I Met My Wife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…