Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Am working on it, kuna wadau washanitafuta tayari tukifikia pazuri nitawapa mrejesho.
 
Am working on it, kuna wadau washanitafuta tayari tukifikia pazuri nitawapa mrejesho.

Kila la kheri kiongozi.

Kuhusu Iryn hiyo namwachia Watu8 ila katika maamuzi Bora yaliyograduate ni kutokumgusa Sumaiya, angeharibu sana. Mropokaji na anajisahau wewe ni Meneja wake.

Vinginevyo, tunasubiria ushushe vitu..mie mwenyewe Roho inaniuma sana nna machungu hatari ya zero distance kule parking
 
Ila hujasema ulivyokosa deal la kwenda Kaizer then unaenda Far Rabat ya Morroco. Tueleze ilikuwaje ukamsajili Morison Far Rabat wakati yangu ulikuwa unamuweka benchi.
 
nimesoma huku nikifuatilia matukio kama kuna sehemu either kajichanganya lkn to be honest sikuona. Na hii ndiyo inaonesha kuwa hii ni true story cos anakwenda day after day,
Pale zenji hotelini Iryn akiwa kakimbilia bedroom kwa Insider man, jamaa alijichanganya kiasi kwamba tuliosoma Cuba tuliona hii ni story ya kutunga tu na sio ya kweli.

Eti yupo na Iryn kwa bed, mkonga umesoma 5G, baadae Iryn akaanza kumenya muwa hadi......

Mara paaap mlango ukafunguliwa na muajemi ikawa ni fumanizi.....

Jamaa alikata story halafu akaendelea episode iliyofuata kwa kupotezea lile fumanizi akaeleza kitu tofauti kabisa kwamba muajemi alikuja tu kuleta bahasha na kutoa taarifa ya safari ya kesho kurudi Dar so hakufumania watu wakibebishana..... 😁

Kama kweli ulisoma hatua kwa hatua utagundua hii story inatungiwa hapa hapa na sio true story.

Ni burudani tu 😂
 
Hakika
 
Hicho kipande cha mnara kusoma 5G na iryn kumenya muwa hakuandika insider man Kuna mwamba aliendeleza tu pale alipoishia insider man. Insider man alikuja kusimulia pale muajemi alipokuja kumuulizia iryn then akampa bahasha.
 
Humu ndani ni mchangqnyiko wa vilaza na g.thinkers wa ukweli mkuu wala usishangae watu kubabaika
 
Hicho kipande cha mnara kusoma 5G na iryn kumenya muwa hakuandika insider man Kuna mwamba aliendeleza tu pale alipoishia insider man. Insider man alikuja kusimulia pale muajemi alipokuja kumuulizia iryn then akampa bahasha.
Huu ni uzi wa insider ikiwa kuna mtu anaweka mwendelezo haramu ni lazima mwenye uzi awajibike, ana asipowajibika maana yake aliyepost anavibali vya mhusika (mwenye uzi)

Soma vizuri mwandishi ni yule yule mwenye uzi
 
Ni ngumu sana kwa mwenye uzi (insider man) kuona kila comment na kuifuatilia.
 
Ni ngumu sana kwa mwenye uzi (insider man) kuona kila comment na kuifuatilia.
Najua waliovamia uzi aliwaonya na kutumia option ya ignoring kwa uvamizi wao.

JF wana utaratibu wao wa kupiga ban mtu yeyote anayeleta shida kwa mwingine, so haijatokea hiyo kwa huu uzi kwa maana ya kwamba wavamizi wamedhibitiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…