Pale zenji hotelini Iryn akiwa kakimbilia bedroom kwa Insider man, jamaa alijichanganya kiasi kwamba tuliosoma Cuba tuliona hii ni story ya kutunga tu na sio ya kweli.
Eti yupo na Iryn kwa bed, mkonga umesoma 5G, baadae Iryn akaanza kumenya muwa hadi......
Mara paaap mlango ukafunguliwa na muajemi ikawa ni fumanizi.....
Jamaa alikata story halafu akaendelea episode iliyofuata kwa kupotezea lile fumanizi akaeleza kitu tofauti kabisa kwamba muajemi alikuja tu kuleta bahasha na kutoa taarifa ya safari ya kesho kurudi Dar so hakufumania watu wakibebishana..... [emoji16]
Kama kweli ulisoma hatua kwa hatua utagundua hii story inatungiwa hapa hapa na sio true story.
Ni burudani tu [emoji23]