Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kwamba angetoa mimba ya Prisca?
 
Insider is Smart ...but ana Lack Boundaries tu sometimes!
 

Hizi episodes chache za mwisho na hata hii inaonesha kabisa Iryn alikuwa rafiki mnafiki...

Pamoja na kwamba amekusaidia sana, hata wewe pia umesaidia tena si kwa habari ya kazi tu bali hata kisaikolojia...

Ningelikuwa ni wewe katika stage hii aliyofikia, ningemchana live na kubwaga manyanga "kuresign"...
 
Aiseeh!! Yaani hakuna Jambo Baya Kama mwanamke akianxa kukuchukia.

Ni hatari Sana, hasa mwanamke ambaye alikuwa anakupenda.

Anaweza kukuharibia ndani ya Dakika Tu. Mbaya zaidi ni kama uyo mwanamke atakuwa ni mtu unayemtegemea Kwenye hustle zako.

Ndo mana huwa sipendi mahusiano ya mapenzi mahali pa kazi.
 
Mzee, umefanya jambo zuri kumpa Jane gari...hapo utaishi kwa amani.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 

Lakini kwenye maisha Kuna vitu vinaweza kumpata vikambadilisha kabisa. Hawa wote Bado Wana uchungu na wanataka kulipiziana visasi. Iryn amejazwa maneno na Muajemi akajaa, anafanya vituko amkomoe Insider...

Ila Iryn nae kukosa utulivu kiasi Cha kuanza kutumia kazi kumpelekesha kamanda wetu sio sawa. Hata kama ni kibarua Kuna wakati hua tunafanya maamuzi magumu ( niliwahi kuacha kazi huku Sina kazi, sishauri mtu mwingine afanye hivyo mie nilikua nna Bahati kama insider nikapata kazi nzuri zaidi baada ya kuwa nje ya mfumo Kwa takriban miezi 10, lakini sijawahi kuyajutia Yale maamuzi hata kidogo)
 
Nadhani cha moto alikionaga, halafu eti bado aliendelea kumchuna muajemi kwa hoja ya kumuunganishia iryn, ningekuwa muajemi hzo 10m kama alimpaga kweli angezitapika kupitia tundu lolote.
 
Mbona story inazidi kunoga.......mwanamke akiwa anakuchukia +ana maokoto kukuendesha ni jambo dogo Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…