Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Kiufupi amefikia mahali pa kutembea kwenye snow bila viatu hahaa tumvumilie....kampoteza mzee pama, iryn ndo uyo kaenda, muajemi na ndoto za biashara ya lubricants inaelekea kuyeyuka, uber imekata, kiuhalisia hakuna maisha yasokuwa na ups n down
Muahemi hakusema uongo, alisema ukweli kabisa, tena ukweli tupu.bado akaniharibia kwa kusema maneno ya uongo.
Ongezea nyama kidogo tukuelewe zaidi mkuu KUHUSU hio kazi yakoLakini kwenye maisha Kuna vitu vinaweza kumpata vikambadilisha kabisa. Hawa wote Bado Wana uchungu na wanataka kulipiziana visasi. Iryn amejazwa maneno na Muajemi akajaa, anafanya vituko amkomoe Insider...
Ila Iryn nae kukosa utulivu kiasi Cha kuanza kutumia kazi kumpelekesha kamanda wetu sio sawa. Hata kama ni kibarua Kuna wakati hua tunafanya maamuzi magumu ( niliwahi kuacha kazi huku Sina kazi, sishauri mtu mwingine afanye hivyo mie nilikua nna Bahati kama insider nikapata kazi nzuri zaidi baada ya kuwa nje ya mfumo Kwa takriban miezi 10, lakini sijawahi kuyajutia Yale maamuzi hata kidogo)
Ongezea nyama kidogo tukuelewe zaidi mkuu KUHUSU hio kazi yako
Makini Sana mkuu madini mazuri kwa vijana wachakarikaji ........ nimekwelewa vemaSiweziandika zaidi ya hapo Mkuu ila msisitizo ni kwamba, usikubali dharau kupita kiasi, mie kazi yangu ilikua ni kwenye shirika sio mtu binafsi ila mkurugenzi mpya akaja na mambo yake tukatofautiana sana ikabidi niwaambie Sina budi kuacha kazi vinginevyo watanifukuza. Haikua kazi rahisi na haikua maamuzi mepesi kuacha kazi ukiwa hauna kazi Wala hautarajii kupata kazi wakati huo. Watu walinishangaa lakini baadae nikaja kupata kazi ambayo nnadumu nayo Hadi Sasa nnavyomsoma INSIDER MAN
Kitu ambacho mie na Watu8 nane tunaona sio sawa ni Iryn kutaka kumnyanyasa Mwamba kisa kazi, ndio hapo linakuja suala la kumwambia ukweli na kumwachia kazi yake .
Wewe uko kama mimi.Hizi episodes chache za mwisho na hata hii inaonesha kabisa Iryn alikuwa rafiki mnafiki...
Pamoja na kwamba amekusaidia sana, hata wewe pia umesaidia tena si kwa habari ya kazi tu bali hata kisaikolojia...
Ningelikuwa ni wewe katika stage hii aliyofikia, ningemchana live na kubwaga manyanga "kuresign"...
Hahaha shukran, sema huyu kijana kazingua kweli kama mwanamke kaonyesha interest na wewe huna Nia ya ku date nae basi usi m keep close Toka mwanzo asiwe na hopes zozote.Kwel ww n pfof
Kozi ya utambuzi na ufahamu pale Chad, nilisoma piaHako kajamaa sio mpenzi wake na Irylin. Tuliosoma Ndjamena Chad tushalijua hilo.
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Watu mna mipango[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Muajemi kama ulipanga kumpiga tukio,ilitakiwa liwe tukio la maana. Ksbb alishapagawa na Iryn, Ilitakiwa tu utengeneze mpango mkubwa.
Mpango ungekuwa hivi Iryn kwa sasa ana mpango wa kununua eneo pembezoni mwa bahari. Sasa eneo lenyewe linauzwa milioni 300,kalipia 150 . Bado 150. Sasa wenye eneo ni kama wana haraka na hiyo pesa wanaweza kuuza kwingine,na Iryn wamezinguana na mshikaji so uhakika wa kupata 150 hiyo kwa haraka haupo,labda anategemea mpaka mwezi ujao na hataki kumghasi babaake ksbb anaumwa. Hivyo nimeona hapo ndio pa kuweka sawa mpango wetu. Nafikiri tukamlipie hiyo 150 kimya kimya iwe suprise kwake Iryn.
Anakuamini asingeshtuka huu mpango. Vile vile uwe tayari akiushtukia basi iwe hivyo,lakini akinasa ndoano iwage ina mashiko. Na anavyomhitaji kwa udi na uvumba hilo angejaa. Bora mwindane kwa mambo yenye kusikika mliooo
Muajemi kama ulipanga kumpiga tukio,ilitakiwa liwe tukio la maana. Ksbb alishapagawa na Iryn, Ilitakiwa tu utengeneze mpango mkubwa.
Mpango ungekuwa hivi Iryn kwa sasa ana mpango wa kununua eneo pembezoni mwa bahari. Sasa eneo lenyewe linauzwa milioni 300,kalipia 150 . Bado 150. Sasa wenye eneo ni kama wana haraka na hiyo pesa wanaweza kuuza kwingine,na Iryn wamezinguana na mshikaji so uhakika wa kupata 150 hiyo kwa haraka haupo,labda anategemea mpaka mwezi ujao na hataki kumghasi babaake ksbb anaumwa. Hivyo nimeona hapo ndio pa kuweka sawa mpango wetu. Nafikiri tukamlipie hiyo 150 kimya kimya iwe suprise kwake Iryn.
Anakuamini asingeshtuka huu mpango. Vile vile uwe tayari akiushtukia basi iwe hivyo,lakini akinasa ndoano iwage ina mashiko. Na anavyomhitaji kwa udi na uvumba hilo angejaa. Bora mwindane kwa mambo yenye kusikika mliooo
Naona IRYN anampango wa kukupunguza kwenye maisha yake Cha kwanza ilitakiwa uitafune mbususu yake hata akikupunguza uwe ushaweka alama ya kumvua bikin ayaani ungetumia ile ofa ya yeye kukufanyia massage ndio umkandamize hapohapoMkuu mpango ni mzuri ila kwa kitu kizito alichopigwa nacho ingekuwa ngumu kujaa hapa. IRYN naye alivimba kwa Muajemi alimwambia ananyumba za kutosha ana pesa za kutosha so habaishwi na pesa zake.
Pia niliona hio pesa ndogo kwake hata isingemuuma, kuna kauli pia inasema usishindane na Tajir maana hachelewi kukulaza kaburini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpango wake wa kukuumiza ume fail, kisiran kime takeover sasa. Hao ndo wanawake