Wachungaji walio wengi sikuhizi fekerooo wanaigiza tu wachache sana wa rohoniiii!!!mm n mchungaj bhna
Kambi ya Fisi unafeli wapi mzee? Soma mstari kwa mstari basi!Ng'ombe wangapi walitolewa kama mahari?
Bwashee hujui jokes za kuchangamsha uzi zilivyo?Kambi ya Fisi unafeli wapi mzee? Soma mstari kwa mstari basi!
Hukumbuki enzi INSIDER MAN alimfuata mjomba kwenda kutoa mahari kwa kina mama J na mjomba akabonyeza ignore button?
Kumbe wamefikia kwenye mambo ya kutaka kupinduana tena nyieee !!Bwashee hujui jokes za kuchangamsha uzi zilivyo?
Sijafell popote pale, ila kiukweli kijana wetu hajamuoa rasmi mama J japo kazaa naye, so Prisca anaweza kuwa mke halali wa kijana wetu endapo tu atajua kucheza na akili yake, maana kijana wetu yupo weak sana kimaamuzi.
Kule church ambako mama J huwa anafundisha Sunday school akitokea mwinjilisti wa kupindua mahusiano ya mama J kijana wetu aki mama J anaweza kuchukuliwa na mwinjilisti wa church kwa sababu hakuna uthibitisho wa ndoa ya kijana wetu na mama J.
Unapendekeza tuanze na yupi hapo?Huku Mama J hapa Iryn kule Priska kuna Mary kuna mcharuko wa tanga !
Maggy mchepuko wa Pama Dada mwarabu ngoja tuone!!
Ulitaka nicomment nn mkuuwewe huwa unacomment "nukta* tu kila Mara ukiwa na maana gani
Ni king'ang'anizi na anaweza akaleta balaa Mda wowote tu .....wanawake wajawazito Wanakuwaga hawajatuliaUnafanya makosa makubwa ya kumkubalia Prisca kwenda nae huko unako enda kuonana na Iryin aisee!!
Big no kiongozi..., unless uwe unaifanya/umeipata hiyo kazi kimazabe na hauna weledi wowote kazini ila kwa mfanyakazi anayejitambua na anaelewa umuhimu wake yani anajua kabisa uwepo wake unaongeza kitu katika taasisi/kampuni husika kuna wakati lazima awe na misimamo na hii hukuongezea thamani pia. Waswahili tuna usemi wetu, "Ni heri lawama kuliko fedheha."Hapa NIDHAMU ni muflisi kwako ndugu INSIDER MAN. Ungekuwa umepita JKT usingejipangia siku na saa ya kikao na BOSSYLADY Irene.
Hata kama kuna quarrel na bosi zisizohusiana na kazi, hiyo haikupi nafasi ya kuwa unprofessional na kum toss boss huku na kule. Ni sawa kuuchochea moto unaowaka badala ya kuuacha ujifie wenyewe.
Kijana wetu ni weak sasa kahamishia majeshi kwa Prisca, hivi kwa mfano Prisca akijua kuwa Mama J hajafunga ndoa na kijana wetu unadhani hatafanya mapinduzi?Kumbe wamefikia kwenye mambo ya kutaka kupindiana tena kha !!
Yaniii! Wanawake tulivo na akili mbili kasoro ndio atafurahi na aeza fanya kila awezalo amuibe huyo mwanaume!!Kijana wetu ni weak sasa kahamishia majeshi kwa Prisca, hivi kwa mfano Prisca akijua kuwa Mama J hajafunga ndoa na kijana wetu unadhani hatafanya mapinduzi?
Aliebeba hii story ndio kauaaaaa hata akikosekana story hainogi kabesaaa!!Unapendekeza tuanze na yupi hapo?
Nami naona msala unaokuja ni mkubwa zaidi, ushauri kwa insider, ahame pale anapoishi coz lyn anapafahamu, ikibidi abadadilishe na namba ya simu kabisa,Kitakachofuata kwenye kikao ni termination tu na siyo inshu nyingine, Irene ashaona mwamba ameanza kupoteza umakini na kwamba hawezi tena kuipush forward Kampuni maana amekuwa na mambo mengi.
Kingine muajemi baada ya kuona kimya kwa ule mchongo hewa wa bwana Insider, atampigia Irene kuhusu yeye kutoa 12M za maandalizi kwenda mbuga ya wanyama huko, na hapo sasa ndio vita itakuwa kubwa zaidi maana Irene atamfuata tena this time mambo yatakuwa makubwa na mabaya mno, tena hata Mama J atajua jinsi Insider alivyokuwa anamfanyia Irene.
unaijua cassanova lodge?Hapo sio mbali na makulu road kama unakwenda Udom, ukishakata kushoto ndo kibarabara kinashuka kwenda kwangu, wanaonakaa maeneo haya watakuwa washapata ramani
Mary naye aliwe lakini.Aliebeba hii story ndio kauaaaaa hata akikosekana story hainogi kabesaaa!!
The one and only Iryn!!
Nimempenda marry mzungu wa roho! Japo nae akikaziwa kwa Insider hawezi chomoa !!Mary naye aliwe lakini.
Nami nilimkubali kwenye maturity yake! Kama wewe yaaani..., afu nna ujumbe wako, em nicheki kuleNimempenda marry mzungu wa roho! Japo nae akiombwa kwa Insider hawezi chomoa !!
Ujumbe uwe mzuriiiiiii sasa karibu sana!!Nami nilimkubali kwenye maturity yake! Kama wewe yaaani..., afu nna ujumbe wako, em nicheki kule
Usomage na aliyeandika ujumbeHapa NIDHAMU ni muflisi kwako ndugu INSIDER MAN. Ungekuwa umepita JKT usingejipangia siku na saa ya kikao na BOSSYLADY Irene.
Hata kama kuna quarrel na bosi zisizohusiana na kazi, hiyo haikupi nafasi ya kuwa unprofessional na kum toss boss huku na kule. Ni sawa kuuchochea moto unaowaka badala ya kuuacha ujifie wenyewe.