Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Wachungaji walio wengi sikuhizi fekerooo wanaigiza tu wachache sana wa rohoniiii!!!mm n mchungaj bhna
Huoni insider mwenyewe ajifanya kauzu huku anahamasika na kuchana bikini kulee!
Mara anaona wivu Iryn kuambatana na mwanaume mwingine na yeye ni mume wa mtu hahah yani anaipenda anaitaka pia!
Kichwa cha chini hakinaga akiliiiiiii eti!