Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Acha kuharibu mrembo wengi tumeiamini ni kweli Kama we unaona ya uongo Tunga na wewe toka mwanzo alikwambia atadeal na wale muhimu akielezea wote si Jf itajaa?
 
Watu Kama nyie mnaboaa Sana Sasa Kama huamini si iache utuachie tunaoamini?
 
Brqza sijui Dada achana na mambo usiyoyapenda huna Sababu kutia nuksi kwenye msosi wa wenzio.

Ukiona kitu kinakukera kausha sepa PITA KULE [emoji117]
 
We kausha Unawahi Wapi ?
Mbona yakujifunza still ni Mengi mpaka Sasa ?
 
Watu mbona mnakaza mafuvu sana, kwan c alisema anazungumzia matukio muhimu yanayoendana na hii story tu

Au wapi kasema anaandika kila kitu cha kwenye maisha yake ??

Pia kama kichwa chako ni cha panzi usitake kila mtu awe na kichwa cha panzi kama wewe
 
Friction ??? 😵😱
 
Kidogo najiskia vizuri saiv, kibao kimegeuka Irny ndo utaanza kumtafuta Insider, Insider wakupe Konyagi ndogo.
 

Weka grease iteleze hyo friction itoke[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…