Kila mtu na starehe yake so mwisho wa siku kila mtu atabeba mzigo wake, usione watu wanatembea mioyo yao imejaa siri nzito. Ila hao wanaotongoza laivu ndio wamekubuhu jaman hawana hata aibuHali ni mbaya mtu yuko tayari akupe million 5 kisa umfumue marinda [emoji1316][emoji1316].
Ukiwa dereva wa Uber kukutana na hawa watu ni kawaida inabidi uzoee, na wanatongoza Wanaume kabisa. Wamenisumbua sana hawa watu enzi zangu kuna wengine maarufu tu huko mitandaoni.
Bora Bongo umeenda South Africa? [emoji1544][emoji1544]
utasikia Uncle nipeleke Tips
Nilikuepo ccyDuuh nilikusahau sisy...ndo waja leo?
[emoji16] uyo@INSIDER MAN mwenyewe alikuwa anaomba elaNdugu INSIDER MAN nikuombe kitu.
Mtu akikuomba NUMBER isikubali kumpa,,
Ukimpa baada ya muda ataanza kuimba umpe PESA naomba usome PESA hata kama unazo.
Kuna majitu majinga sana
Hata mm nitamuomba, mbona yeye alimuomba muajemi[emoji16] uyo@INSIDER MAN mwenyewe alikuwa anaomba ela
Daaah [emoji28] [emoji28]Hata hawa iringa sherfad (bibi,Popi)nao ni wazuri kwa matumizi ya kawaida kama hutaki mambo mengi maana nao wakiwa trained wanakua poa pia.View attachment 2765331View attachment 2765330
Bestie acha zako mbona hela ya mboga hioMilioni 3 zote kununua mbwa 😳 nyiee kweli watu mna pesa za jumla na rejareja🙌🙌🙌🙌🙌!
Ha ha , Ni passion tu mkuu. Nawapenda sana hawa jamaa zetu.Duh! Mkuu! Una phd ya dogs? au? Maana, si kwa lecture hii!
Tena hawa kama unawezana nao, safi kabisa.Hata hawa iringa sherfad (bibi,Popi)nao ni wazuri kwa matumizi ya kawaida kama hutaki mambo mengi maana nao wakiwa trained wanakua poa pia.View attachment 2765331View attachment 2765330
Wao kazi yao ni kukuamsha tu,vita ni ya kwako,hawaingilii vita visivyo wahusu,Tena hawa kama unawezana nao, safi kabisa.
Hawana stress mkuu.
Changamoto yao, wakisikia mtu anaburuza panga nje hesabu vita ni ya kwako peke yako asee. Wao kelele tu mkuu.
Iyrin ni mobeto.
Prisca ni sepetu.
Acha kutudharau bro
Sisi tuwafuatilie akina mobeto
Dharau hii
Baba yake Kinje?Bulldog ndo wana hii tabia maana walishawai kupita na mwanasiasa maarufu hapa nchini.
www.tupohapa.comKama sites gani?
Hao mbwa mnafuga wa nini? Fugeni vi jibwa kama vya kina wema Manunu...