Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,932
- 2,525
Kila mtu na starehe yake so mwisho wa siku kila mtu atabeba mzigo wake, usione watu wanatembea mioyo yao imejaa siri nzito. Ila hao wanaotongoza laivu ndio wamekubuhu jaman hawana hata aibuHali ni mbaya mtu yuko tayari akupe million 5 kisa umfumue marinda [emoji1316][emoji1316].
Ukiwa dereva wa Uber kukutana na hawa watu ni kawaida inabidi uzoee, na wanatongoza Wanaume kabisa. Wamenisumbua sana hawa watu enzi zangu kuna wengine maarufu tu huko mitandaoni.
Bora Bongo umeenda South Africa? [emoji1544][emoji1544]
utasikia Uncle nipeleke Tips