Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sio hao mim nililipa yangu last year February kufika October naambiwa ime expire.... Ety wanabadlsha sjui ujinga gani... Nimeachana nao kwanza
 
Rott ni mbwa hatari sana, siwezi kumshauri mtu yoyote afuge hao mbwa. GS ndio mbwa bora kabisa wa ulinzi.
 
Mkuu hao rottweiler wana tabia ya kufuta mafaili kichwanii..yaan anweza akakusahau at ww mfugji wake akapita na ww iv..
Nakubaliana na wewe mia kwa mia. Nchi nyingine hurusiwi kabisa kufuga hao viumbe mpaka kibali maalumu.
 
Nimechukia sana baada ya kumaliza episode hii, usiniulize kwa nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…