Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Acha kuusema ugenious kirahisi ivyo,hizi mishe ni za miaka miwili iliyopita,we utakua kichwa panz ushindwe kukumbuka harakati zako za miaka miwili iliyopita mzee,halafu sio kwmb anachosema ni exactly kabsa neno kwa neno,apo anakuwa anakumbuka context ya maongez then anaweka content kuendana na contexts hasa hasa kwny maongezi aliyoyafanya
 
Mara paaap 😆 jamaa anasoma masters ya linguistics na lugha ya kiswahili, unakuta hapa anajifunza kutunga riwaya au hadithi alafu nyie audiences mtoe recommendations na clues imagine case study yake ni dar es salaam esp..mbezi beach na masaki...😁😅🤣🤣😂🤣🤣
 
Bro umekula maisha sn, ila wew ni wa kishua from the ground, kitendo cha mzee wako kuwa engineer at the first place changamoto hukuwa nazo nying sn big up

Hapana mkuu mimi sio wa kishua kama ingekua hivo mzee angenipa pesa ya mtaji wakati nimemaliza chuo. Nashukuru Mungu familia yangu ipo kwenye level ya kati ambapo naweza sema sio maskini wala matajiri.
 
Anafanya sisi wengine tujione tuna mkosi huyu jamaaa[emoji28][emoji28]
 
Hapana mkuu mimi sio wa kishua kama ingekua hivo mzee angenipa pesa ya mtaji wakati nimemaliza chuo. Nashukuru Mungu familia yangu ipo kwenye level ya kati ambapo naweza sema sio maskini wala matajiri.
Nakupongeza kwa jambo moja biashara hz za kukutana na watu tofauti ogopa sana kufanya mapenz na wateja wako hii ndio sumu namba moja ukiweza hilo lazima utatoka kimaisha oneday wengi wanakwama hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…