Alafu yeye hatoagi pesa bure bure yaani, hizi laki 3 na vimilioni anapata sana.
Imgine jamaa aliingia loss ya 130K pale airport ila hakutaka kuacha pesa kizembe huyu jamaa kama siyo mhehe basi ni mpare wabahili sana, aliona hata akisema nalipa 50K haifai mpaka apigie watu simu kutoa help, if was me ningetoa as long as pesa ipo sema nisingezidi 80K[emoji16][emoji16][emoji16]
Offers kama zote mzee, kwa Iryn anaingia mpaka jikoni anajisevia.....aseeee sisi wengine tuna gundu sana.
Sema Iryn ana pesa sana.
Huyo mama J atakuuwa hivi hivi kwa wivu na presha yaani mtoto anaonekana wa moto sana, ghafla nimemfananisha na bby mama wangu alivyo na mitikasi ya kuhisi hisi namcheat wakati akuna kitu afu siku akikufuma kweli, daaah ni kelele [emoji16][emoji16][emoji16]