Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

mkuu huyu jamaa ni katika wale watu wachache ambao tunawaita magenious......... Masomo yake si unaona aliyosoma Chuo? Yaan sio kichwa maJi.... Anyway way kwa wale wenzangu tuliokuwa tunameza chandi enzi za A level wala hatumshangai.... Ubongo huwa unaweza kuhifadhi taarifa nyingi sana na huwa haujai......
Acha kuusema ugenious kirahisi ivyo,hizi mishe ni za miaka miwili iliyopita,we utakua kichwa panz ushindwe kukumbuka harakati zako za miaka miwili iliyopita mzee,halafu sio kwmb anachosema ni exactly kabsa neno kwa neno,apo anakuwa anakumbuka context ya maongez then anaweka content kuendana na contexts hasa hasa kwny maongezi aliyoyafanya
 
Mara paaap 😆 jamaa anasoma masters ya linguistics na lugha ya kiswahili, unakuta hapa anajifunza kutunga riwaya au hadithi alafu nyie audiences mtoe recommendations na clues imagine case study yake ni dar es salaam esp..mbezi beach na masaki...😁😅🤣🤣😂🤣🤣
 
Bro umekula maisha sn, ila wew ni wa kishua from the ground, kitendo cha mzee wako kuwa engineer at the first place changamoto hukuwa nazo nying sn big up

Hapana mkuu mimi sio wa kishua kama ingekua hivo mzee angenipa pesa ya mtaji wakati nimemaliza chuo. Nashukuru Mungu familia yangu ipo kwenye level ya kati ambapo naweza sema sio maskini wala matajiri.
 
Alafu yeye hatoagi pesa bure bure yaani, hizi laki 3 na vimilioni anapata sana.

Imgine jamaa aliingia loss ya 130K pale airport ila hakutaka kuacha pesa kizembe huyu jamaa kama siyo mhehe basi ni mpare wabahili sana, aliona hata akisema nalipa 50K haifai mpaka apigie watu simu kutoa help, if was me ningetoa as long as pesa ipo sema nisingezidi 80K[emoji16][emoji16][emoji16]

Offers kama zote mzee, kwa Iryn anaingia mpaka jikoni anajisevia.....aseeee sisi wengine tuna gundu sana.

Sema Iryn ana pesa sana.

Huyo mama J atakuuwa hivi hivi kwa wivu na presha yaani mtoto anaonekana wa moto sana, ghafla nimemfananisha na bby mama wangu alivyo na mitikasi ya kuhisi hisi namcheat wakati akuna kitu afu siku akikufuma kweli, daaah ni kelele [emoji16][emoji16][emoji16]
Anafanya sisi wengine tujione tuna mkosi huyu jamaaa[emoji28][emoji28]
 
Hapana mkuu mimi sio wa kishua kama ingekua hivo mzee angenipa pesa ya mtaji wakati nimemaliza chuo. Nashukuru Mungu familia yangu ipo kwenye level ya kati ambapo naweza sema sio maskini wala matajiri.
Nakupongeza kwa jambo moja biashara hz za kukutana na watu tofauti ogopa sana kufanya mapenz na wateja wako hii ndio sumu namba moja ukiweza hilo lazima utatoka kimaisha oneday wengi wanakwama hapa
 
Back
Top Bottom