Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

😂😂Kuna msemo unasema akili YAKO ndoo mtaji wako..... yaani apooo ni inshu ya maamuzi ya ndugu insider man kumuepuka iryn.....

Viwawishi vipo jana,leo na kesho huwezi kumlalamikia rafiki akati rafiki wa rafiki anasapoti hayo yaliyoendelea
 
UONGO UONGO MWINGINE.


Yule Masai wa wavuvi camp alimpa laki 2 na iryn akaongeza laki 3 jumla laki 5.

Hata uwe Tajiri na exposure kibao hela hazitolewi ovyo kiasi hicho.
Ukiwa huna kila kitu unaona hakiwezekani, atoae huongezewa na Mikono inayosaidia watu ni mitakatifu kuliko midomo inayosali
 
Ila Maguire hauchoki kutoa maboko mzee. Sasa demu umemkaza, na una uhakika umemkaza vizuri, unamtongoza ili iweje tena kaka?

Yani baada ya kushinda uchaguzi, ndio unaanza kupiga kampeni?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
nomaaa insider harry maguire[emoji1787][emoji1787]
 
mh mm naamin mwanamke hawezi kukuacha bila reason yawezekana anamwaume mwingine ndio maan anakaza fuvu.

Wewe kula buyu jifanye km hujali chochote inahitaji mbinu kubwa san kucheza na akil za wanawake,mwanamke ni km mtoto tu

NB:USITUMIE NGUVU KUBWA KUWA NA MAHUSIANO NA MTU UNAEZA KUJIKUTA UKAGEUZWA MTUMWA WA MAPENZ
 
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…