Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Kumbe umeona hili 😂Mdau tantalila nying sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe umeona hili 😂Mdau tantalila nying sana
😂😂Kuna msemo unasema akili YAKO ndoo mtaji wako..... yaani apooo ni inshu ya maamuzi ya ndugu insider man kumuepuka iryn.....#8,794
Kitendo cha ilyn kumsaliti rafiki Mama J ambaye ni rafiki yake. Kimenihuzunisha sana. Japo naelewa hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume.
Jambo lingine kuwa na gari na kuwa na vicent ambavyo insider anavyo kupelekea sana wasichana kishoboka..
Ukiwa huna kila kitu unaona hakiwezekani, atoae huongezewa na Mikono inayosaidia watu ni mitakatifu kuliko midomo inayosaliUONGO UONGO MWINGINE.
Yule Masai wa wavuvi camp alimpa laki 2 na iryn akaongeza laki 3 jumla laki 5.
Hata uwe Tajiri na exposure kibao hela hazitolewi ovyo kiasi hicho.
[emoji1787][emoji23][emoji1787]Leta mzigo hapa unanifarakanisha na wateja wangu. Nimeunda group la WhatsApp wanalipia buku 2 sa wanataka next Episode
Ha haaaa umeloa ........😀😉Daaah hatimaye ryn kaliwa ila tabu tunapata sisi wengine insider we ni nyokoooo
🤣🤣🤣🤣Ha haaaa umeloa ........😀😉
nomaaa insider harry maguire[emoji1787][emoji1787]Ila Maguire hauchoki kutoa maboko mzee. Sasa demu umemkaza, na una uhakika umemkaza vizuri, unamtongoza ili iweje tena kaka?
Yani baada ya kushinda uchaguzi, ndio unaanza kupiga kampeni?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
mh mm naamin mwanamke hawezi kukuacha bila reason yawezekana anamwaume mwingine ndio maan anakaza fuvu.Wakati tunasubiri INSIDER MAN alete mwendelezo, ngonja nishare experience kdg kuhusu mahusiano ya kimapenzi na watu wa kazini.
Nimefanya kazi almost miaka 2 kwenye post yangu mpya na ni sehemu ambaye robo 3 ya wafanyakazi ni wanawake.
Kuna mmoja nilimspot kumbe na yeye alikuwa amenielewa. Tumedate almost miezi 6 then tukaamua kuingia kwenye relationship.
Changamoto yake ana wivu sana. Hataki akuone unaongea na mfanyakazi mwingine wa kike. Kuna siku kadhaa amenikamata mfano nilipanda mshikaki wa boda hii siku alimind sana.
Last time nilikuwa nachat na mdada wa kazini kumbe wapo pamoja , yule dada msenge anamwonesha chats zetu eti fulani ananifurahisha hapa (zilikuwa normal charts sio mapenzi) bila kujua anatoa siri kwa mwenye Mali.
To make it short amenipiga kibuti aah aah tumebakia marafiki ila pamoja na kumbembeleza kote anasema harudi nyuma.
Kinachonishangaza kila mukioongea kwa simu au mkichat anaishia kuniambia vile alivyonipenda na nimeishia kumuumiza.
Jana nilimkuta kwa staff mate tulipiga story na kula pamoja. Baadae staff alienda mjini tukabaki wenyewe, nikawa na test kushika kiuno na kumhug wala hakukataa na jioni nilimuaga kwa kumkiss mdomoni.
Leo nimeendelea kumbembeleza turudi km zamani anasema hataki kuumia tena kwa wanaume anayeshobokea na kila mwanamke kazini.
Ukweli bado namhitaji sana lkn ni km nikiendelea kumbembeleza sana nitamkosa. Na plan kula buyu nisiongee kuhusu mahusiano yetu tena
Je inaweza kumsaidia kurudi nyuma ?
Inside mbona unaniangusha..hujawahi kimpa Dem yoyote BDSMArsenal leo kanifurahisha sana, Big up Arsenal fans we deserved [emoji123].
[emoji736]
Yeah mama J kama mama mjengo!Anataka wabaki wawili tu yeye na Mama J
Mnoooooo yani!Navuta picha naona ulienjoy Sana hiko kipande ....kale ka mzuka
Acha tu yaniii😁!Antonnia sio kwa furaha hizo umemzidi mpka iryn😀😀
Barikiwa sana mkuu wacha tusubirie episode inayofuata!Asante boss lady naanza kuisoma sasahivi
Ngoja ndugu na insider man wakutafute boss lady 👻🤩Mnoooooo yani!
🤣🤣🤣🤣Sijui nna matatizo gan,
Yaani mimi ningeshamla
Iryn,
Mary,
Jiran yake iryn,
Mamdogo ake Mary,
Mama wawili
Mtoto wa mama wawili siku ya pili tu ningesharudi kupeleka zawadi shulen
Kale kadada kengine kanakubali kulewa naye
Yaan ningeshachafuka sana...
Nahisi wengine ningewakosa kwa ule uchu wa kuwaonyesha kuwa wakilega tu wameliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ugentleman kama huu unauzwa wapi jamen🥹
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili nigundue nini mie!!??😳Ngoja ndugu na insider man wakutafute boss lady 👻🤩
Thawa tukutane episode ya 64 ......Ili nigundue nini mie!!??😳
Jf usiichukulie siriaz kiivo!