Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

#8,794

Kitendo cha ilyn kumsaliti rafiki Mama J ambaye ni rafiki yake. Kimenihuzunisha sana. Japo naelewa hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume.

Jambo lingine kuwa na gari na kuwa na vicent ambavyo insider anavyo kupelekea sana wasichana kishoboka..
😂😂Kuna msemo unasema akili YAKO ndoo mtaji wako..... yaani apooo ni inshu ya maamuzi ya ndugu insider man kumuepuka iryn.....

Viwawishi vipo jana,leo na kesho huwezi kumlalamikia rafiki akati rafiki wa rafiki anasapoti hayo yaliyoendelea
 
UONGO UONGO MWINGINE.


Yule Masai wa wavuvi camp alimpa laki 2 na iryn akaongeza laki 3 jumla laki 5.

Hata uwe Tajiri na exposure kibao hela hazitolewi ovyo kiasi hicho.
Ukiwa huna kila kitu unaona hakiwezekani, atoae huongezewa na Mikono inayosaidia watu ni mitakatifu kuliko midomo inayosali
 
Ila Maguire hauchoki kutoa maboko mzee. Sasa demu umemkaza, na una uhakika umemkaza vizuri, unamtongoza ili iweje tena kaka?

Yani baada ya kushinda uchaguzi, ndio unaanza kupiga kampeni?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
nomaaa insider harry maguire[emoji1787][emoji1787]
 
Wakati tunasubiri INSIDER MAN alete mwendelezo, ngonja nishare experience kdg kuhusu mahusiano ya kimapenzi na watu wa kazini.
Nimefanya kazi almost miaka 2 kwenye post yangu mpya na ni sehemu ambaye robo 3 ya wafanyakazi ni wanawake.
Kuna mmoja nilimspot kumbe na yeye alikuwa amenielewa. Tumedate almost miezi 6 then tukaamua kuingia kwenye relationship.
Changamoto yake ana wivu sana. Hataki akuone unaongea na mfanyakazi mwingine wa kike. Kuna siku kadhaa amenikamata mfano nilipanda mshikaki wa boda hii siku alimind sana.
Last time nilikuwa nachat na mdada wa kazini kumbe wapo pamoja , yule dada msenge anamwonesha chats zetu eti fulani ananifurahisha hapa (zilikuwa normal charts sio mapenzi) bila kujua anatoa siri kwa mwenye Mali.
To make it short amenipiga kibuti aah aah tumebakia marafiki ila pamoja na kumbembeleza kote anasema harudi nyuma.
Kinachonishangaza kila mukioongea kwa simu au mkichat anaishia kuniambia vile alivyonipenda na nimeishia kumuumiza.
Jana nilimkuta kwa staff mate tulipiga story na kula pamoja. Baadae staff alienda mjini tukabaki wenyewe, nikawa na test kushika kiuno na kumhug wala hakukataa na jioni nilimuaga kwa kumkiss mdomoni.
Leo nimeendelea kumbembeleza turudi km zamani anasema hataki kuumia tena kwa wanaume anayeshobokea na kila mwanamke kazini.
Ukweli bado namhitaji sana lkn ni km nikiendelea kumbembeleza sana nitamkosa. Na plan kula buyu nisiongee kuhusu mahusiano yetu tena
Je inaweza kumsaidia kurudi nyuma ?
mh mm naamin mwanamke hawezi kukuacha bila reason yawezekana anamwaume mwingine ndio maan anakaza fuvu.

Wewe kula buyu jifanye km hujali chochote inahitaji mbinu kubwa san kucheza na akil za wanawake,mwanamke ni km mtoto tu

NB:USITUMIE NGUVU KUBWA KUWA NA MAHUSIANO NA MTU UNAEZA KUJIKUTA UKAGEUZWA MTUMWA WA MAPENZ
 
Sijui nna matatizo gan,

Yaani mimi ningeshamla

Iryn,
Mary,
Jiran yake iryn,
Mamdogo ake Mary,
Mama wawili
Mtoto wa mama wawili siku ya pili tu ningesharudi kupeleka zawadi shulen
Kale kadada kengine kanakubali kulewa naye
Yaan ningeshachafuka sana...

Nahisi wengine ningewakosa kwa ule uchu wa kuwaonyesha kuwa wakilega tu wameliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi ugentleman kama huu unauzwa wapi jamen🥹

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom