Hakikishaa Basi tuone na hizo facts zako. Kama huelewi mwanaume anahitaji mahitaji mawili hapa duniani tu ambayo Ni sex na success.Sijasema Kijana apite nao wala nn, hayo ni MAONI YANGU na yatabaki hivyo...
Chamsingi, wewe pamoja na hao VIJANA wenzako endeleeni kuruka ruka na huyu na yule(kama muandishi) ila MUDA NI MWALIMU MZURI.
Kinachosumbua rika vijana wanadhani kuvua vua chup* ndio URIJALI but trust me ni USHAMBA kama USHAMBA mwingine and I can prove with facts.
Ulipie tangazo...... Naona Antonnia is heading to the pitfallπ€ͺmm huwa wanakojoa sana tu, kuna mmoja aliniambiaga, N, nakupenda sana ila ktu ninachopenda zaidi kutoka kwako, unajua sana kumuandaa mwanamke.
tuishie hapa mkuu, walimwengu wasije wakaanza maneno, hawanga dogo et,
Antonnia ona walimwengu wanachosema hukuUlipie tangazo...... Naona Antonnia is heading to the pitfall
Mkuu mnaposema nature ya mwanaume ni kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja mkae mkijua, ni sawa na kusema na mwanamke naye awe na mwanaume zaidi ya mmoja maana wanaume wanafanya ngono na hao hao wanawake hawafanyi na viumbe vingine, kwa sababu ratio ya population duniani kwa jinsia zote ni almost iko sawa ila wanaume wamezidi kidogoHakikishaa Basi tuone na hizo facts zako. Kama huelewi mwanaume anahitaji mahitaji mawili hapa duniani tu ambayo Ni sex na success.
Mwanaume kazi yake Ni kut00mba tu na kutafuta chakula Kama swala dumw anavyotembea na majike 30 kazi yake Ni kutafuta malisho. Hakuna mwanaume akaumbwa kuwa na mwanamke mmoja yaani hii haipo Ni Ile tu watu wanapingana na asili ama nature.
Sasa mwanaume hawezi kut00mba tu inabidi Sasa atafute chakula,mahala pa kulala ndio Mana anakuwa bize mno mpaka anasahau kazi ya kuzaliana.
Mabbabu wa mababu walimiki wake kibao kabla maisha hayajawa magumu. Uislamu haujafungia macho hili suala sema ukristi wakafunga macho suala ambalo linasumbua mno dunia.
Mfalme Suleiman alimiliki wake around 1000. Mfalme wa ottoman empire aliua concubines karibia 250 akawarusha baharini kisa tu mmoja wao alilala na mwanaume mwingine. Yaani huwezi bishana na asili hata asili imempatia mwanaume tamaa kubwa mno ya kut00mba. Na hayupo Kama yupo Basi Kati milioni wanaoweza kukubali kuwa na mafanikio bila ya kut00mba.
Lete facts zako hapa twende na sio kuwa unatumia subjectivity na biasennes zako kutaka kujifanya kuwa ndio universal principle za universe. Napenda uongee universal principles za universe na universe laws of natures
Ila we jamaa....sema mi nimependa vile unavyojua kuiona ilipo fursa na we unakazia humohumo. kale ka msemo kama sijakosea.... ' the higher the demand ....the lower the supply' .... ko umeona uchezee palepale maana Ni ukweli usiopingika dada zetu Wana uhaba wa wakojozaji.Antonnia ona walimwengu wanachosema huku
Hili biti lilitakiwa liendane na hela ya bundle
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.
Maombi yenu [emoji120]
duuu sijawai kujua kuna uhaba wa wakojozaji huko mtaani, hii tukiiweka kibiashara inaweza lipa eh, yan natangaza huko insta/fb kuwa natoa huduma ya kukojoza, nitawapata wengi eh?Ila we jamaa....sema mi nimependa vile unavyojua kuiona ilipo fursa na we unakazia humohumo. kale ka msemo kama sijakosea.... ' the higher the demand ....the lower the supply' .... ko umeona uchezee palepale maana Ni ukweli usiopingika dada zetu Wana uhaba wa wakojozaji.
Damu ya Yesu imponye kabisaa Junior wetu. Ni hali ya hewa so dont worry he gonna be fine. AmenNdugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.
Maombi yenu [emoji120]
Mungu awabarikini apone haraka kwa jina la YesuNdugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.
Maombi yenu [emoji120]
Mkuu mnaposema nature ya mwanaume ni kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja mkae mkijua, ni sawa na kusema na mwanamke naye awe na mwanaume zaidi ya mmoja maana wanaume wanafanya ngono na hao hao wanawake hawafanyi na viumbe vingine, kwa sababu ratio ya population duniani kwa jinsia zote ni almost iko sawa ila wanaume wamezidi kidogo
So mnapotunga hivyo vitheory vyenu kuwa mwanaume ana tamaa hatosheki na mwanamke mmoja na kusingizia nature, mkumbuke kwamba hiyo hiyo nature imewasaliti kwenye upande wa population maana kama nature ingekuwa upande wenu, population ya wanawake ingetakiwa kuiacha mbali sana ya wanaume ili hiyo theory yenu iwe logical and applicable
Yani kama kila mwanaume atataka kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja basi automatically mnakuwa mnalazimisha na mwanamke naye awe na mwanaume zaidi ya mmoja, kitu ambacho huwa hamtaki kusikia wala kukubaliana nacho ilihali ndio uhalisia wenyewe huo yani kwa kifupi idadi ya watu wote duniani na hata nchi moja moja inawakataa na inapingana na hiyo theory yenu, hiyo asili inaweza kuwa imempatia mwanaume tamaa kubwa ila imesahau kumpatia na idadi kubwa ya wanawake wa kumtosha so jitafakarini
Mnafuatilia au mnafuatilishwa mkuu?? πππWe surely have become your relatives. Sio kwa kufuatilia huku kuhusu maisha yako!
Be well soon Junior!!!
Relatives wa Mzinifu au dereva wa UBA? πππWe surely have become your relatives. Sio kwa kufuatilia huku kuhusu maisha yako!
Be well soon Junior!!!
Tuko pamoj kwenye maombi bro Mungu atamponya dogo.Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.
Maombi yenu [emoji120]