Mungu amsaidie apone harakaNdugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.
Maombi yenu [emoji120]
Jikite kwenye hoja mkuu, jinsia yangu haitakusaidia kitu, hatuko kujadili utashi wa mtu binafsi bali tunajadili uhalisiaWewe ni mwanamke au Mwanaume?
Jikite kwenye hoja mkuu, jinsia yangu haitakusaidia kitu, hatuko kujadili utashi wa mtu binafsi bali tunajadili uhalisia
Tunamuombea apone harakaNdugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.
Maombi yenu [emoji120]
Huyu dada namjua anaitwa Fetty ni jirani yangu hata asubuhi hii nimeonana nae
Wishing him a quick recovery.Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.
Maombi yenu [emoji120]
Yakobo alioa mtu na dada yake, hiyo haina shida piga mzigo huoNami nichangia kwa kuomba ushauri kidogo.
Hii incidence ya Mary kumpenda INSIDER MAN kimapenzi ilhali akijua kuwa jamaa ameishakuwa na mahusiano na mdogo wake wa kuzaliwa tumbo moja kimaadili imekaaje wakuu?
Mimi sio kama INSIDERMAN ila ninakabiliwa na changamoto ya dada mtu kunitaka kimapenzi wakati nilishakuwa na mahusiano na mdogo wake hapo kabla. Kwa sasa hatuko pamoja ingawa bado anaonyesha hisia waziwazi.
Jadda Arguments zako hazi mashiko hata kidogo mfano mdogo angalia statistics za population duniani kati ya me na ke ndo utapata majibu.Mkuu mnaposema nature ya mwanaume ni kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja mkae mkijua, ni sawa na kusema na mwanamke naye awe na mwanaume zaidi ya mmoja maana wanaume wanafanya ngono na hao hao wanawake hawafanyi na viumbe vingine, kwa sababu ratio ya population duniani kwa jinsia zote ni almost iko sawa ila wanaume wamezidi kidogo
So mnapotunga hivyo vitheory vyenu kuwa mwanaume ana tamaa hatosheki na mwanamke mmoja na kusingizia nature, mkumbuke kwamba hiyo hiyo nature imewasaliti kwenye upande wa population maana kama nature ingekuwa upande wenu, population ya wanawake ingetakiwa kuiacha mbali sana ya wanaume ili hiyo theory yenu iwe logical and applicable
Yani kama kila mwanaume atataka kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja basi automatically mnakuwa mnalazimisha na mwanamke naye awe na mwanaume zaidi ya mmoja, kitu ambacho huwa hamtaki kusikia wala kukubaliana nacho ilihali ndio uhalisia wenyewe huo yani kwa kifupi idadi ya watu wote duniani na hata nchi moja moja inawakataa na inapingana na hiyo theory yenu, hiyo asili inaweza kuwa imempatia mwanaume tamaa kubwa ila imesahau kumpatia na idadi kubwa ya wanawake wa kumtosha so jitafakarini
Acha uongoHuyu dada namjua anaitwa Fetty ni jirani yangu hata asubuhi hii nimeonana nae
dada umefika kipande cha ngapi?Sikia wewe hujalazimishwaaaa kuisoma Sasa Kama alikuwa anaweka matukio kwa Diary ya kila siku??eti hayapo matukio ya hivyo.Hujui Kuna watu wamezaliwa na Ngekewa?ndo Hawa Sasa na mbona Kuna watu wanatoka kwa namna ya kujiana tu na Watu ndo inaitwa Connection eti ananiudhi si uache kuisoma
Tunasubl episode ya janaNashukuru Mungu Jana JUNIOR ali recover na amepona kabisa. Navyoandika hapa tuko Mlimani city tunazurura. [emoji120]
Wewe kuwa na kichwa kizito sio kosa langu mkuuEleweka
Hiyo ndio population ya wanaume na wanawake duniani una lingine mkuuJadda Arguments zako hazi mashiko hata kidogo mfano mdogo angalia statistics za population duniani kati ya me na ke ndo utapata majibu.
Ep ya Jan kaka sasNashukuru Mungu Jana JUNIOR ali recover na amepona kabisa. Navyoandika hapa tuko Mlimani city tunazurura. [emoji120]
Amina Mungu ni mwemaNashukuru Mungu Jana JUNIOR ali recover na amepona kabisa. Navyoandika hapa tuko Mlimani city tunazurura. [emoji120]