Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ndio hivyo tu naheshimu Uzi wa Insider nisije nikamharibia kwa Maongezi tofauti.

Sijui nikuanzishie Uzi nikuvutie pembeni huku nikushughulikie vizuri[emoji848]
Good hakikisha umejipanga vizuri kwa hoja maana si wengine kubishana na kushusha magazeti ndio jadi yetu, waulize vizuri wanaotufahamu humu jf ila uzuri ni kuwa huwa tunabishana kwa hoja hatubishani ili mradi tu, so cut the crap and bring it on
 
Hizi mada ndizo walizoendea wanawake kule Beijing. Lakini bado wameshindwa kubadiri nature ya MUNGU. Bado mwanaume hawezi kuwa sawa na mwanamke. Kwamba mwanaume akioa mke wa pili na wewe mwanamke uoea mume wa pili ni ngumu. Na mpaka sasa ujue mwanamke anategemea maamuzi ya mwanaume kama wako wote
 
Mkuu nisome vizuri unielewe population gender ratio ya watu duniani hairuhusu kila mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja, kama kila mwanaume akisema awe na mwanamke zaidi ya mmoja kuna mawili either kuna wanaume watakosa kabisa wanawake, au wanawake nao watajikuta wanakuwa na wanaume zaidi ya mmoja ili kila mwanaume apate mwanamke kitu ambacho hakiwezekani
 
Hata mm mkuu nina historia hyo kutembea na mdogo mtu ilihali dada yke nlishakuwa nae na tukaachana though ilikuwa kama mzaha na mdogo nilidumu nae kwa miaka 11
 
Hata mm mkuu nina historia hyo kutembea na mdogo mtu ilihali dada yke nlishakuwa nae na tukaachana though ilikuwa kama mzaha na mdogo nilidumu nae kwa miaka 11
Mm pia ilishanitokea tena mara mbili, wa kwanza wakat nipo na dada yake alikuwa mdogo bado, aise watoto wa kike wanakua haraka sana, kuja kukutana naye dar sikuamini macho yangu, tukabadilishana namba, baada ya muda akaanza kunitumia pic za mitego, nikasema huyu hanijui, nikapita naye jumla jumla, ni marehemu sasa alikufa kwenye ile ajali ya precision bukoba, rip shem darling.
 
Hii hoja ya mtu kujajiwa uelewa wake au ufaham wake humu kwa kuangalia muda alojiunga naonaga ni ukilaza wa hali ya juu sijui humu mtu anakuwa certified akiwa mda mrefu kwmb ndy smart sana, jamaa hapa kafeli watu wapo smart na hawana muda na social media.
 
Uzi ushatekwa na WAKUDA
dogo analeta ujuaji kwanin asiambiwe ukweli ,Sasa Hana sababu yoyote ya kuchelewesha story hi Basi tu anatafuta umaarufu Hapa jf

Aache ujinga amalize story Ana vizingizio vingi Mara junior anaumwa Mara nimesafiri Mara najiandaa kusoma masters Mara Alisha andika Hana Muda wa kureview Ni kwamba jamaa Ni Totally Ni muongo muonho
 
Unamlipa?? INSIDER MAN hata usipoleta mwendelezo fresh tu, asitokee kenge wa kukupangia hakuna anayekulipa humu ndani. Na hakuna aliye ombwa kusoma huu uzi kila mtu Arosto zake zimemleta hapa, all the best classmate.
 
Unamlipa?? INSIDER MAN hata usipoleta mwendelezo fresh tu, asitokee kenge wa kukupangia hakuna anayekulipa humu ndani. Na hakuna aliye ombwa kusoma huu uzi kila mtu Arosto zake zimemleta hapa, all the best classmate.
Imefikia pahala, kubemb eleza sana sio sawa. Nakumbuka insider alisema mtoto anaumwa, Kwa asiyena familia ya watoto,hataelewa. Inakunyima Raha mtoto akiwa hoi. Sisi wanywa chang'aa tunakaa tunatepeta, tunamwagika, tunanyoooka, tunayoyomea, tunawangika,tunambumbuika, tunanyongoroka, tunapoa, chang'aa haipandi ng'o ng'o seuze simulizi ya ilyin, masuala ya kutombeka, alyin ametombeka hakuna jipya
 
Mi nilishalisema hilo, jamaa anachokifanya ni kuangalia trend ya story yake. Watu wanashoboka vip na stori yake.

Nadhani kuna target amiepanga. Either idadi ya views or any record aifikie katika thread yake. Mbali na hapo hakuna sababu za msingi za kuchelewesha story.

Ni ARROGANCE tu. Alafu kuna watu eti wanamtetea? For what? Yaani ukileta story humu jamii forum maana yake sisi ndio hadhira yako . Lazima utuheshim, bila wasomaji nani utamwandikia story yako?

Waandishi jifunzeni kuwaheshimu wasomaji wenu. Maana bila wao huwezi kuwa wewe maana hutakuwa na wa kumsimulia story yako.

Ndio tabia zao hizo. Wanavyoanzisha story, kila siku wanatupia episode lakini the way story inavyotrend wanaanza visingizio. Mbona mwanzoni mwa story hakuna siku ulitoa excuse? Why now? STOP ARROGANCE.
 
Nina maswali mawili.
1 JF wanamlipa inside man?.
2 Kwa STORY hii kuwa na ufuatiliwaji mkubwa kuna namna JF wameongeza kipato?
Kipato wanaongeza maana mtu akisearch biashara ya Uber lazima uzi wa Insider auone hivyo wanajoin kuufuatilia, nafikiri JF iandae mpango mzuri kwa watu kama hawa akina BM, UMUGHAKA nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…