Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Upo sawa ila naweza kukupinga,
1. Hulazimishwi kufuatilia huu uzi
2. Hakuna anayemlipa muda wake,
3. Hakuna humu ndani aliyeombwa kuusoma.
4. Suala la kuendelea au laah ni juu yake hata akiishia na ep66 hakuna atakayamfanya kitu. So tuwe na subira sisi sote ni free-Riders, suala la kumaliza story mapema au laah ni juu yake.

INSIDER MAN usiendeleze hii story hakuna anayekulipa humu ndani, watu wa humu ndani hawana shukran. Hakuna hata mmoja ambaye huwa anakujulia hali, zaidi wameweka maslahi mbele.

Bora ufadhili punda kuliko Binadamu, Episode zimebaki 4 haina haja ya kumalizia, all the best kwenye masomo yako.
 
Lakini Chief tambua haya:-
1. Hulazimishwi kufuatilia huu uzi
-Hakuna aliyemwomba aanzishe uzi wake, maana kwamba alianzisha alitegemea kutakuwa na wafuatiliaji.

2. Hakuna anayemlipa muda wake,
-Ni kweli na hata yeye kama Fanani halipii muda wa Hadhira, hili suala la muda lina cut across.

3. Hakuna humu ndani aliyeombwa kuusoma.
-Tambua pia hakuna aliyemfuata mwandishi huko kwao BUNJU/MBEZI na akamuomba aanzishe uzi, alijiskia kushare na jamii hadithi/stori yake hivyo maamuzi pia ni yake kuendelea au kuachia hapo.

4. Suala la kuendelea au laah ni juu yake hata akiishia na ep66 hakuna atakayamfanya kitu. So tuwe na subira sisi sote ni free-Riders,
-Unaposema kuwa wote wanaosoma humu ni Free-riders sijui una maana gani!? kumbuka hata hao wasomaji wanatumia VOCHA/BUNDLE kuperuzi, ina maana hata huna huruma na bando la ndugu wengine hadi useme ni free -riders.

Hitimisho lako sasa:-
Bora ufadhili punda kuliko Binadamu, Episode zimebaki 4 haina haja ya kumalizia.

-Ni Hitimisho la Kikuda sana , elewa hapa Mwandishi Hamfadhili Binadamu yeyote, ila aliamua kushare story yake na kuonyesha aliyopitia ambapo alitarajia ndani yake WATU WANGEOKOTA MEMA/MADINI na KUYATUMIA KUJIINUA KIUCHUMI, sasa inapofikia anakaribu malizia then wanaibuka viherehere wanasema eti zimebaki ep. 04 aachie hapo kisa wanauliza ataendelea lini inakuwa sio fair.
Final word toka kwangu:- Mwandishi ana majukumu yake wote tunafahamu na atambue pia hata hadhira yake pia ina majukumu yake, hivyo atakapokuwa na muda ATAAMUA MWENYEWE aendelee au achieve hapo hapo alipokwisha mvua Iryn, TUTARIDHIKA WALA HATUTAKUFA.
 
Story zenye chai lazima ziandaliwe, now hana muendelezo so anatafuta story za kutunga zaidi awashike maskio
Chai โ˜•๏ธ anaweka chumvi sasa
 
Hapo mwishoni umemalizia vizuri. Point ni kwamba humu ndani watu wamejaa makasiriko hakuna hata mtu ambaye huwa anamjulia hali mwandishi zaidi ya kuomba mwendelezo.

Kama sisi ni hadhira yake kwanini tusithamini kwa kazi anayofanya ya kutupa burudani/kutuelimisha? Kwanini muda wote tumejaa makasiriko kana kwamba yeye hana majukumu ya kufanya?

Kama ni bando unatumia hata yeye anatumia bundle na anapoteza muda wake pia kwenye kuandika, so tuwe wastaarabu na sio kuwa na makasiriko yasiyo na faida.

Sijawahi kuona hata mtu humu ndani akimjulia hali Insider man zaidi ya kuulizia mwendelezo ๐Ÿšฎ
 
Kakojoe ukalale hujaitwa kwenye uzi wetu pendwa, kaliwa Iryn linakuja dume na mandevu yake linaona wivu ulitaka uliwe wewe?

Kama unaona huu uandishi ni kitu simple andika stori yako watu wengi waifutilie kama tunavyofuatilia hii .
 
Kakojoe ukalale hujaitwa kwenye uzi wetu pendwa, kaliwa Iryn linakuja dume na mandevu yake linaona wivu ulitaka uliwe wewe?

Kama unaona huu uandishi ni kitu simple andika stori yako watu wengi waifutilie kama tunavyofuatilia hii .
Hawa watu wa JF ni d** head, hawana shukran kabisa na wanaolalamika ni wale wanaosema CHAI. Nashangaa kuwaona hapa wanalalamika wakitaka muendelezo,
 
Ndugu, sidhani kama wanaJF wamejaa makasiriko wala nn ..!! and I can tell you KWA KUWA HUMU NDANI WENGI WANA-ID FAKE nadhani kama each and everyone angeweza kureveal his/her true self nadhani ungeshangaa hata hiyi kauli ya kuwa watu wana makasiriko ungeifuta.

Lakini pia hizi amsha amsha za kuulizia muendelezo, ku-comment hiki na kile kina faida sana na kwa kiasi kikubwa kinaleta TRAFFICK katika uzi wa Jamaa.

Najua pia unaperuzi katika nyuzi nyingine za JF za watunzi wengine (kina Mshana, kina BMW sijui, kuna kina Umughaka n.k.nk), Je huko napo kuna hata siku mwanaJF alimjulia hali mwandishi, na hata kama itatokea mara nyingi inakuwa PM, So, salamu YES but sio lazima sana.
 
Point yako ni kwamba msomaji anahaki apate anachokitaka kwa muda wowote anaojiskia?

Mpaka sasa tuna miezi 3 na amepost episode 66, kwa wastani ni episode 22 kila mwezi je huu wastani unauonaje??.
 
Point yako ni kwamba msomaji anahaki apate anachokitaka kwa muda wowote anaojiskia?

Mpaka sasa tuna miezi 3 na amepost episode 66, kwa wastani ni episode 22 kila mwezi je huu wastani unauonaje??.
Hii ni sahihi, mlaji ana haki ya kupata hadithi kwa utaratibu na muda pangwa, nakumbuka ni mwandishi huyu huyu alijiwekea UTARATIBU WA KUPOST EPISODES WEEKEND akisema kuwa WEEKDAYS anakuwa BUSY na shughuli zake, and am pretty sure almost all walielewa kuwa jamaa ni mchakarikaji atakuwa anapost akiwa na muda means FRID, SAT & SAT... but ww mwenyewe unaweza kuwa shahidi hapo katikati mambo yakavurugika akawa anatupia TU-EPISODES hata katikati ya week.

Nadhani pia wayfoward nzuri, siku nyingine anaweza kuandaa STORY nzuri na KUTENGENEZA PLATFORM YAKE HASA HUKU WHATSAPP/TELEGRAM kama kina Buyobe, Anga na Mzee wa Rapta then akagenerate INCOME FROM HIS STORY la sivyo WADAU HAWATAACHA KUPATA AROSTO NA KUULIZA MUENDELEZO.
 
Youโ€™re so jealous woman but youโ€™re still here dancing on his diki
BM wiki moja umempendelea sana.. jamaa alikua anapotea zaidi ya mwezi na akirudi anasema msinipangie nipo natafuta pesa ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Nina maswali mawili.
1 JF wanamlipa inside man?.
2 Kwa STORY hii kuwa na ufuatiliwaji mkubwa kuna namna JF wameongeza kipato?
JF wamlipe kwa sababu gani?? Kwani walimuomba ailete hii story?? Yeye alijisikia kushare ikapata response nzuri lakini haimaanishi alipwe while ilikuwa hiari yake.
 
Good hakikisha umejipanga vizuri kwa hoja maana si wengine kubishana na kushusha magazeti ndio jadi yetu, waulize vizuri wanaotufahamu humu jf ila uzuri ni kuwa huwa tunabishana kwa hoja hatubishani ili mradi tu, so cut the crap and bring it on
For sure nilitaman kutia neno ila maamuzi mazuri kuanzisha uzi i will be there tubak kuheshimu uzi wa mwamba isiwe bored kw members wengine.
 
Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ