granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
Dada mtu alichukuliaje mahusiano yako na mdogo wake?Hata mm mkuu nina historia hyo kutembea na mdogo mtu ilihali dada yke nlishakuwa nae na tukaachana though ilikuwa kama mzaha na mdogo nilidumu nae kwa miaka 11
Watu pekee ambao huwa wakianzisha story hawanaga madoido ni kijana wangu toka pale unyumbuni Analyse ,,marehemu leadermoe na JBourne59 tu.Mi nilishalisema hilo, jamaa anachokifanya ni kuangalia trend ya story yake. Watu wanashoboka vip na stori yake.
Nadhani kuna target amiepanga. Either idadi ya views or any record aifikie katika thread yake. Mbali na hapo hakuna sababu za msingi za kuchelewesha story.
Ni ARROGANCE tu. Alafu kuna watu eti wanamtetea? For what? Yaani ukileta story humu jamii forum maana yake sisi ndio hadhira yako . Lazima utuheshim, bila wasomaji nani utamwandikia story yako?
Waandishi jifunzeni kuwaheshimu wasomaji wenu. Maana bila wao huwezi kuwa wewe maana hutakuwa na wa kumsimulia story yako.
Ndio tabia zao hizo. Wanavyoanzisha story, kila siku wanatupia episode lakini the way story inavyotrend wanaanza visingizio. Mbona mwanzoni mwa story hakuna siku ulitoa excuse? Why now? STOP ARROGANCE.
asante mkuu, alikuwa mtoto wa mwisho kwa mama yake, siku ya ile ajali mama yake alinipigia, akaniuliza umesikia ajali ya ndege, nikajbu ndio, akasema fulani alikuwa kwenye hyo ndege na hatumpati kwenye simu, nikamfariji tu pale, badaye ndo dada yake ananipigia ananiambia mdogo wake kafariki. niliumia sana aisee.Pole sana.
Mbona Kama mimi sijagundua kitu code kivipiBro umefungua code ya jina la iryn mbn[emoji28]
Hakuwa sahihi kusalimia ni sawa lkn sio uanze vitu personal na huku Ana mtu usiomjua unajua kwa hapa watu wanaweza sema Hapa umetunga Mana hakuna mtu.timamu wa kufanya hivyo japo mi naaminiEva alikuwa sahihi maana hata mimi nikimwona dem wa mshikaji wangu lazima nimsalimie.
Ashukuriwe MUNGU.Insider we are waiting for the next ep,Nashukuru Mungu Jana JUNIOR ali recover na amepona kabisa. Navyoandika hapa tuko Mlimani city tunazurura. [emoji120]
Soma vizuri iyo episode niliyoquote utaonaMbona Kama mimi sijagundua kitu code kivipi
Ni story ndefu kdg ila wkt nipo kwenye mahusiano na dada mtu, dada mtu alimficha mdog wake na akamtambulisha kwamb mim ni rafik yake mistake ilianzia hapo wakat anamtambulisha hivyo kumbe mdogo mtu alitokea kunielewa tayar dada mtu akaja kujua hilo badae mana mdogo mtu hakuficha hisia zake akamwambia kabisa dada yake kilichoniuma pia kilimuuma mpak mdogo wake ni kwamba dada mtu akaja nambia kabisa kwamb mdogo wake ananipenda. By the way nikachukulia kama ushemej na akatuunganisha kimawasiliano akafunguka mdogo mtu wakati mm nikajua ni utan kama shemej yangu hata akinitamkia nakupenda hakuna nikamjibu nami pasipo kujua nampa mtu mkataba wakati mimi nadhan ni kama ushemej nilikuja kushtuka badaeDada mtu alichukuliaje mahusiano yako na mdogo wake?
Jamii pamoja na wazazi wa hao mabinti huwa wanachukuliaje huu uhusiano wako wa pili na huyu mdogo mtu kama mlifikia kuuweka wazi uhusiano wenu?
Mkuu nashukuru kwa kushea uzoefu wako humu.
Mzee jf member wengi ni wendawazimu basi tu wanaakili za kitoto sana.Watu hapa hamna hata shukran na utu. Mleta uzi katoa taarifa kuwa mwanae anaumwa juzi hapa. Sasa kwa akili tu ya kawaida mwanae anaumwa akomaee na kuandika uzi badala ya kuuguza mwanae kwanza..? Nyie mafalazzz mnaotaka muendelezo kila muda mnamlipa..? Nyuzi ngapi zinakaa miezi mingi bila kufikia tamati..? Tuache ujuaji hapa hatulipii MB zetu tu na hatujuani matatzo na mapito ya kila leo. Hatujui leo kuwa mwanae anaendeleaje..? Ila kenge baadhi zinatukana tu mara chai mara uongo lakn bado wapo wanausoma huu uzi. Acheni ujinga na ujuaji kwenye kila kitu. Nyie fantaaaz muwe na adabu. Story iendelezwe muhusika akijisikia hata kwa kufuata ule utaratibu alokua kapanga kila wiki.
Kabisa aisee. Jamaa alisema mwanae anaumwa wachache wakampa pole afu majitu yamekaa na roho mbaya zao hata kuuliza kwa mhusika hata ndani ya uzi hapo hapo kuhusu maendeleo ya mwanae hawaulizi wao wanakuja na kejeli za kipuuzMzee jf member wengi ni wendawazimu basi tu wanaakili za kitoto sana.
Sasa huyu nae ni mzuri?View attachment 2783964
Could Irene be as cute as this chic
Nyie miles 45 na Kaghambe mbona hamuwatendei haki wanajamvi.... Maneno mnayotumia sidhani kama no ya mtu aliyestaarabika...inafikia muda Miles anaita "members wengi ni wendawazimu na watoto" Je, sababu ya watu kuhoji au umejiskia Kuwaita members jona hilo?Kabisa aisee. Jamaa alisema mwanae anaumwa wachache wakampa pole afu majitu yamekaa na roho mbaya zao hata kuuliza kwa mhusika hata ndani ya uzi hapo hapo kuhusu maendeleo ya mwanae hawaulizi wao wanakuja na kejeli za kipuuz
Uzi unapumuliwa na wahuni sasa [emoji30][emoji42]Uzi ushatekwa na WAKUDA
Hivi umesoma maelezo ya Kaghambe na kuyafahamu na comments za watu wanao taka muendelezo. Hivi wewe mwanao akiumwa utafikiria uweke uzi jf? Kuita watu majina sio poa lakini kuna muda inakuwa sawa kuitwa hata mbwa kama hujielewi.Nyie miles 45 na Kaghambe mbona hamuwatendei haki wanajamvi.... Maneno mnayotumia sidhani kama no ya mtu aliyestaarabika...inafikia muda Miles anaita "members wengi ni wendawazimu na watoto" Je, sababu ya watu kuhoji au umejiskia Kuwaita members jona hilo?
Na wewe Kaghambe unasema mijitu ina "roho mbaya" eti kisa haiulizi maendeleo ya mtoto, mbona unahukumu roho za watu kuwa mbaya mamlaka hayo unayapatia wapi?
Ningependa muelewe, JF inatumiwa na members WENYE AKILI TIMAMU NA WENGI NI ABOVE 18 YRS na NIMEGUNDUA PIA MEMBERS WENGI WANA ROHO NZURI . Ona nakumbuka Mwandishi aliposema anauguliwa na Junior alipokea pole na salamu za kumtakia heri mtoto na hata kabla hajasema Hali ya mtoto ipoje wapo walioulizia status ya Junior, For more reference mnaweza rudia threads za nyuma huko mtaona.
Ushauri :- Nadhani MUNGU alituumba na kutupatia vichwa vyetu kwa maana maalumu, tusipende kuvifanya viwe mzigo kwa shingo, kabla ya KUTUKANA, KUTUHUMU ni vyema tushirikishe BONGO ZETU, Haipendezi sababu ya Hadithi TU tena imeletwa na mtu ambaye HATUMFAHAMU na yy HAFAHAMU hadhira yake tunatumia maneno ya kukera kama MEMBERS WENDAWAZIMU & UTOTO MWINGI na ROHO MBAYA.
Tupendane na tubishane kwa hoja na sio matusi pale tunapopishana mawazo.
Watu hapa hamna hata shukran na utu. Mleta uzi katoa taarifa kuwa mwanae anaumwa juzi hapa. Sasa kwa akili tu ya kawaida mwanae anaumwa akomaee na kuandika uzi badala ya kuuguza mwanae kwanza..? Nyie mafalazzz mnaotaka muendelezo kila muda mnamlipa..? Nyuzi ngapi zinakaa miezi mingi bila kufikia tamati..? Tuache ujuaji hapa hatulipii MB zetu tu na hatujuani matatzo na mapito ya kila leo. Hatujui leo kuwa mwanae anaendeleaje..? Ila kenge baadhi zinatukana tu mara chai mara uongo lakn bado wapo wanausoma huu uzi. Acheni ujinga na ujuaji kwenye kila kitu. Nyie fantaaaz muwe na adabu. Story iendelezwe muhusika akijisikia hata kwa kufuata ule utaratibu alokua kapanga kila wiki.
Lakini nadhani imefika time JF iwe ina walipa hawa storytellers coz wanasaidia kuwaingizia mapato makubwa sana. Hebu imagine story moja views 3mil hii ni pesa nyingi watu wameingiza through their bundles.JF wamlipe kwa sababu gani?? Kwani walimuomba ailete hii story?? Yeye alijisikia kushare ikapata response nzuri lakini haimaanishi alipwe while ilikuwa hiari yake.