Wamekazana chai afu hawa banduki. Sema inatufundisha namna binadamu walivyo wa aina mbali mbaliHata mimi nawashangaa sana watu wa humu ndani kwakweli, kwanza ukiangali Episode zinazokuja kwasasa ni ndefu sana tofauti na nyuma. Nimesoma story nyingi tu lakini watu walikuwa wanapotea wanarudi hata mwezi kuendeleza, kuna story zingine watu waliachia njiani.
Watu wa JF ni Toxic, ningekuwa jamaa ningeacha kumalizia hizi Episodes, uzuri wanaoteseka ni wale wazee wa CHAI [emoji23]
Rudia kusoma nilicho andika. Mkuu maana eehNyie miles 45 na Kaghambe mbona hamuwatendei haki wanajamvi.... Maneno mnayotumia sidhani kama no ya mtu aliyestaarabika...inafikia muda Miles anaita "members wengi ni wendawazimu na watoto" Je, sababu ya watu kuhoji au umejiskia Kuwaita members jona hilo?
Na wewe Kaghambe unasema mijitu ina "roho mbaya" eti kisa haiulizi maendeleo ya mtoto, mbona unahukumu roho za watu kuwa mbaya mamlaka hayo unayapatia wapi?
Ningependa muelewe, JF inatumiwa na members WENYE AKILI TIMAMU NA WENGI NI ABOVE 18 YRS na NIMEGUNDUA PIA MEMBERS WENGI WANA ROHO NZURI . Ona nakumbuka Mwandishi aliposema anauguliwa na Junior alipokea pole na salamu za kumtakia heri mtoto na hata kabla hajasema Hali ya mtoto ipoje wapo walioulizia status ya Junior, For more reference mnaweza rudia threads za nyuma huko mtaona.
Ushauri :- Nadhani MUNGU alituumba na kutupatia vichwa vyetu kwa maana maalumu, tusipende kuvifanya viwe mzigo kwa shingo, kabla ya KUTUKANA, KUTUHUMU ni vyema tushirikishe BONGO ZETU, Haipendezi sababu ya Hadithi TU tena imeletwa na mtu ambaye HATUMFAHAMU na yy HAFAHAMU hadhira yake tunatumia maneno ya kukera kama MEMBERS WENDAWAZIMU & UTOTO MWINGI na ROHO MBAYA.
Tupendane na tubishane kwa hoja na sio matusi pale tunapopishana mawazo.
Unapenda sana kutumia maneno "kwa upande mwingine" 😁😁
Kiaz kibichiLakini Chief tambua haya:-
1. Hulazimishwi kufuatilia huu uzi
-Hakuna aliyemwomba aanzishe uzi wake, maana kwamba alianzisha alitegemea kutakuwa na wafuatiliaji.
2. Hakuna anayemlipa muda wake,
-Ni kweli na hata yeye kama Fanani halipii muda wa Hadhira, hili suala la muda lina cut across.
3. Hakuna humu ndani aliyeombwa kuusoma.
-Tambua pia hakuna aliyemfuata mwandishi huko kwao BUNJU/MBEZI na akamuomba aanzishe uzi, alijiskia kushare na jamii hadithi/stori yake hivyo maamuzi pia ni yake kuendelea au kuachia hapo.
4. Suala la kuendelea au laah ni juu yake hata akiishia na ep66 hakuna atakayamfanya kitu. So tuwe na subira sisi sote ni free-Riders,
-Unaposema kuwa wote wanaosoma humu ni Free-riders sijui una maana gani!? kumbuka hata hao wasomaji wanatumia VOCHA/BUNDLE kuperuzi, ina maana hata huna huruma na bando la ndugu wengine hadi useme ni free -riders.
Hitimisho lako sasa:-
Bora ufadhili punda kuliko Binadamu, Episode zimebaki 4 haina haja ya kumalizia.
-Ni Hitimisho la Kikuda sana , elewa hapa Mwandishi Hamfadhili Binadamu yeyote, ila aliamua kushare story yake na kuonyesha aliyopitia ambapo alitarajia ndani yake WATU WANGEOKOTA MEMA/MADINI na KUYATUMIA KUJIINUA KIUCHUMI, sasa inapofikia anakaribu malizia then wanaibuka viherehere wanasema eti zimebaki ep. 04 aachie hapo kisa wanauliza ataendelea lini inakuwa sio fair.
Final word toka kwangu:- Mwandishi ana majukumu yake wote tunafahamu na atambue pia hata hadhira yake pia ina majukumu yake, hivyo atakapokuwa na muda ATAAMUA MWENYEWE aendelee au achieve hapo hapo alipokwisha mvua Iryn, TUTARIDHIKA WALA HATUTAKUFA.
Kwa upande mwingine nawaza kamanda ataweza kutulia na Iryn wakati ameshaambiwa Mary anampenda?
Huku naona Kuna chembechembe za mahaba zinataka kujitokeza kati yule Mdogo wake na Mjamzito wa Mbweni na INSIDER MAN
Kwa upande mwingine Mama J na Iryn mahusiano Yao yanachukua mwelekeo gani Kwa Sasa baada ya Mwamba kutuheshimisha Kwa Iryn?
Iryn anampenda Junior na kaondoka na picha yake, vipi kama ajenda yake ni kupata mtoto na Insider?
So sadasante mkuu, alikuwa mtoto wa mwisho kwa mama yake, siku ya ile ajali mama yake alinipigia, akaniuliza umesikia ajali ya ndege, nikajbu ndio, akasema fulani alikuwa kwenye hyo ndege na hatumpati kwenye simu, nikamfariji tu pale, badaye ndo dada yake ananipigia ananiambia mdogo wake kafariki. niliumia sana aisee.
Ukweli mchungu huuLakini Chief tambua haya:-
1. Hulazimishwi kufuatilia huu uzi
-Hakuna aliyemwomba aanzishe uzi wake, maana kwamba alianzisha alitegemea kutakuwa na wafuatiliaji.
2. Hakuna anayemlipa muda wake,
-Ni kweli na hata yeye kama Fanani halipii muda wa Hadhira, hili suala la muda lina cut across.
3. Hakuna humu ndani aliyeombwa kuusoma.
-Tambua pia hakuna aliyemfuata mwandishi huko kwao BUNJU/MBEZI na akamuomba aanzishe uzi, alijiskia kushare na jamii hadithi/stori yake hivyo maamuzi pia ni yake kuendelea au kuachia hapo.
4. Suala la kuendelea au laah ni juu yake hata akiishia na ep66 hakuna atakayamfanya kitu. So tuwe na subira sisi sote ni free-Riders,
-Unaposema kuwa wote wanaosoma humu ni Free-riders sijui una maana gani!? kumbuka hata hao wasomaji wanatumia VOCHA/BUNDLE kuperuzi, ina maana hata huna huruma na bando la ndugu wengine hadi useme ni free -riders.
Hitimisho lako sasa:-
Bora ufadhili punda kuliko Binadamu, Episode zimebaki 4 haina haja ya kumalizia.
-Ni Hitimisho la Kikuda sana , elewa hapa Mwandishi Hamfadhili Binadamu yeyote, ila aliamua kushare story yake na kuonyesha aliyopitia ambapo alitarajia ndani yake WATU WANGEOKOTA MEMA/MADINI na KUYATUMIA KUJIINUA KIUCHUMI, sasa inapofikia anakaribu malizia then wanaibuka viherehere wanasema eti zimebaki ep. 04 aachie hapo kisa wanauliza ataendelea lini inakuwa sio fair.
Final word toka kwangu:- Mwandishi ana majukumu yake wote tunafahamu na atambue pia hata hadhira yake pia ina majukumu yake, hivyo atakapokuwa na muda ATAAMUA MWENYEWE aendelee au achieve hapo hapo alipokwisha mvua Iryn, TUTARIDHIKA WALA HATUTAKUFA.
Hapo mwishoni umemalizia vizuri. Point ni kwamba humu ndani watu wamejaa makasiriko hakuna hata mtu ambaye huwa anamjulia hali mwandishi zaidi ya kuomba mwendelezo.
Kama sisi ni hadhira yake kwanini tusithamini kwa kazi anayofanya ya kutupa burudani/kutuelimisha? Kwanini muda wote tumejaa makasiriko kana kwamba yeye hana majukumu ya kufanya?
Kama ni bando unatumia hata yeye anatumia bundle na anapoteza muda wake pia kwenye kuandika, so tuwe wastaarabu na sio kuwa na makasiriko yasiyo na faida.
Sijawahi kuona hata mtu humu ndani akimjulia hali Insider man zaidi ya kuulizia mwendelezo 🚮
Wew Ni mpumbavu Sana unatetea ujinga na utapeli kwa hoja zako dhaifu eti Hakuna hata mmoja anamjulia Hali insider wako pumbavu kbsa toka lini tumeanza kuamkia watot kisa vinaleta story hapa ,, nonsense kbsa
Shortly story hi ilipazwa kuhitimishwa August 31 sas Hadi leo ipo na haijulikani itaisha lini kwa kifupi amalize story target yakeimefeli Kam atalazimisha anaochotaka yeye
Mwambie amalize story hi haraka Sana
Kama ningekuwa mimi ndio Melo basi nyuzi kama hizi ningeweka na matangazo humu humu ndani, halafu awalipe since viewers ni wengi.Lakini nadhani imefika time JF iwe ina walipa hawa storytellers coz wanasaidia kuwaingizia mapato makubwa sana. Hebu imagine story moja views 3mil hii ni pesa nyingi watu wameingiza through their bundles.
Hata youtube watu hupost videos kwa hiyari yao tu lakini u-tube kwa kudhamini wakaona waanze kuwalipa kila content creator ambaye atafikisha viewa 1m and above sasa JF nao waache ubahili kwasababu to be honest wao ndio wanaingiza fedha nyingi zaidi kwa views hizi
Watu wafaidike na content zao zinazovutia watu wengi zaidi tuache haya mambo ya kindugu sijui amepost kwa hiyari yake hajaitwa that's nonsense muhimu ni kwamba tayari amevutia watu wengi kwenye platform yako of which hawaji bure wana weka bundle. Hii socialism itaisha Lini???
Wivu tu....Wew Ni mpumbavu Sana unatetea ujinga na utapeli kwa hoja zako dhaifu eti Hakuna hata mmoja anamjulia Hali insider wako pumbavu kbsa toka lini tumeanza kuamkia watot kisa vinaleta story hapa ,, nonsense kbsa
Shortly story hi ilipazwa kuhitimishwa August 31 sas Hadi leo ipo na haijulikani itaisha lini kwa kifupi amalize story target yakeimefeli Kam atalazimisha anaochotaka yeye
Mwambie amalize story hi haraka Sana
Pia nilijifunza Humu jf ukiwa na ile roho laini ya upendo, care humu sio mahali pakeKabisa aisee. Jamaa alisema mwanae anaumwa wachache wakampa pole afu majitu yamekaa na roho mbaya zao hata kuuliza kwa mhusika hata ndani ya uzi hapo hapo kuhusu maendeleo ya mwanae hawaulizi wao wanakuja na kejeli za kipuuz