Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sasa mtu kaomba udhuru mwanae anaumwa na kalazwa alafu wewe unakuja kumkomandi alete muendelezo wa uzi [emoji29][emoji29]

Yaani jamaa aachane na kupambania afya ya mwanae aje akusimulie wewe jinsi gani alimsosomoa irene kama sio uwendawazimu ni nini....?
 
Ningekua ndio mm hapa ningepunguza kwa mchepuko wa mzee pama maana irene kashatoa ahadi ya kusaidia ujenzi
 
Hata wewe tunakushangaa kuendelea kuwepo humu ilitakiwa uwe umetoka tangu August 31. Uwepo wako humu ni batili toka hatukuhitaji
 
Kabisa mkuu kuna shida saana humu. Kitambo nilikua na account nyingine humu nawajua watu hapa vzr saana. Wanataka uwe unateseka tu.
 

Hizi ndo story ambazo wana JF wanapenda kuzisikia,
 
Ningekua ndio mm hapa ningepunguza kwa mchepuko wa mzee pama maana irene kashatoa ahadi ya kusaidia ujenzi

Jane lazima anatoboka sana tu ukicheki Insider ndo kila kitu kule Mbweni, msimuliaji hawezi andika kila kitu.

Mambo tunayoambiwa hapa ni machache sana, kuna wale ambao hakutaka kuwaandika, alisema anadeal na watu waliokuwa na impact kwake.
 
Kama ningekuwa mimi ndio Melo basi nyuzi kama hizi ningeweka na matangazo humu humu ndani, halafu awalipe since viewers ni wengi.
Changamoto labda itakua ni story ipi itapata attention kubwa ili iwekewe ads lakini hata bila ya hivo tayari kuna ads zipo humu naziona za CRDB bank na mitandao baadhi ya simu so labda kama ni kuongezea tu wengine zaidi ila sasa zisiwe too much tutaukimbia mtandao

Issue ni kwamba JF waje na sera ya kwamba content creator yeyote yule atakayeweza kufikisha views let say 1mil wao watalipa kiasi fulani let'say 100k maana na wenyewe watakuwa wameingiza pesa ya kutosha tu hapo na kadri views wakiongezeka na mpunga uongezeke kwa kiwango hicho hicho.

So kwa kuanza wakae chini na hawa content creators kwamba kama mtu ana story yake asimulie ila ikishafikisha tu 1mil views tunakaa mezani tunawekeana utaratibu kwamba kila baada ya muda huu ontime aweke Muendelezo kama story yake haijaisha hii kwanza itaondoa malalamiko ya sisi wateja wao pia maswala ya kuwapigia magoti hawa Ops kuomba Muendelezo of which naamini wengi sana hatupendi hii kero

Imagine unafikiri ni wangapi wameamua kushit hii thread baada ya hii kero ya kubembelezana kuomba muendelezo wa stori? Hapa anayepata hasara ni JF wenyewe so waliangalie hili suala.
 
Mkuu hiyo no.2 sijakuelewa , sasa utajuaje kama ana roho ya mafanikio au mikosi?
 
Vitabu vitakatifu vipi hivyo vitaje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudadekii zenu wotee humu,,,,hatimae nimemaliza sasa...!!!

Viazii mbatata nyiee[emoji124][emoji124]
 
Kwani wewe unaishi nae?. Unajua changamoto zake?. Hata kazini tu kwenye mshahara watu wanashinda ksbb ya changamoto za kimaisha. Yeye anawaletea free bado kichwani hamnazo. Huwazi?. Kwani hamna kazi zingine za kufanya kutwa mnashinda humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…