Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nyie miles 45 na Kaghambe mbona hamuwatendei haki wanajamvi.... Maneno mnayotumia sidhani kama no ya mtu aliyestaarabika...inafikia muda Miles anaita "members wengi ni wendawazimu na watoto" Je, sababu ya watu kuhoji au umejiskia Kuwaita members jona hilo?

Na wewe Kaghambe unasema mijitu ina "roho mbaya" eti kisa haiulizi maendeleo ya mtoto, mbona unahukumu roho za watu kuwa mbaya mamlaka hayo unayapatia wapi?

Ningependa muelewe, JF inatumiwa na members WENYE AKILI TIMAMU NA WENGI NI ABOVE 18 YRS na NIMEGUNDUA PIA MEMBERS WENGI WANA ROHO NZURI . Ona nakumbuka Mwandishi aliposema anauguliwa na Junior alipokea pole na salamu za kumtakia heri mtoto na hata kabla hajasema Hali ya mtoto ipoje wapo walioulizia status ya Junior, For more reference mnaweza rudia threads za nyuma huko mtaona.

Ushauri :- Nadhani MUNGU alituumba na kutupatia vichwa vyetu kwa maana maalumu, tusipende kuvifanya viwe mzigo kwa shingo, kabla ya KUTUKANA, KUTUHUMU ni vyema tushirikishe BONGO ZETU, Haipendezi sababu ya Hadithi TU tena imeletwa na mtu ambaye HATUMFAHAMU na yy HAFAHAMU hadhira yake tunatumia maneno ya kukera kama MEMBERS WENDAWAZIMU & UTOTO MWINGI na ROHO MBAYA.

Tupendane na tubishane kwa hoja na sio matusi pale tunapopishana mawazo.
Sasa mtu kaomba udhuru mwanae anaumwa na kalazwa alafu wewe unakuja kumkomandi alete muendelezo wa uzi [emoji29][emoji29]

Yaani jamaa aachane na kupambania afya ya mwanae aje akusimulie wewe jinsi gani alimsosomoa irene kama sio uwendawazimu ni nini....?
 
Mary kwasasa ndo wakuhofiwa, jamaa hawezi chomoka hapa. Kwa juhudi zote alizoonesha msibani, Mary anapoint 10 tayari, Master plan ni Jane. Insider hachomoki hapa.

Vicky simwofii

Asmah- kidogo

Prisca ni kama kapotea tayari

Mary ndo anakuja kuwa starring sasa.
Ningekua ndio mm hapa ningepunguza kwa mchepuko wa mzee pama maana irene kashatoa ahadi ya kusaidia ujenzi
 
Wew Ni mpumbavu Sana unatetea ujinga na utapeli kwa hoja zako dhaifu eti Hakuna hata mmoja anamjulia Hali insider wako pumbavu kbsa toka lini tumeanza kuamkia watot kisa vinaleta story hapa ,, nonsense kbsa

Shortly story hi ilipazwa kuhitimishwa August 31 sas Hadi leo ipo na haijulikani itaisha lini kwa kifupi amalize story target yakeimefeli Kam atalazimisha anaochotaka yeye

Mwambie amalize story hi haraka Sana
Hata wewe tunakushangaa kuendelea kuwepo humu ilitakiwa uwe umetoka tangu August 31. Uwepo wako humu ni batili toka hatukuhitaji
 
Pia nilijifunza Humu jf ukiwa na ile roho laini ya upendo, care humu sio mahali pake

Pia watu wanapenda kusikia habari za kuachwa na mpenzi, kufukuzwa kazi ,unapitia maisha magumu , mademu hawakupendi hapo ndio utakua rafiki yao

Ila ukionesha wewe pisi hazikusumbui, ndoa umeiweza ni tamu, maisha yako matam aisee jiandae kusaikolojia kwa upinzani utakao kutana nao humu
Kabisa mkuu kuna shida saana humu. Kitambo nilikua na account nyingine humu nawajua watu hapa vzr saana. Wanataka uwe unateseka tu.
 
Nimekua nikitumia hii picha kutengeneza imagination ya Iryn [emoji56]

20231004_192903.jpg
 
Pia nilijifunza Humu jf ukiwa na ile roho laini ya upendo, care humu sio mahali pake

Pia watu wanapenda kusikia habari za kuachwa na mpenzi, kufukuzwa kazi ,unapitia maisha magumu , mademu hawakupendi hapo ndio utakua rafiki yao

Ila ukionesha wewe pisi hazikusumbui, ndoa umeiweza ni tamu, maisha yako matam aisee jiandae kusaikolojia kwa upinzani utakao kutana nao humu

Hizi ndo story ambazo wana JF wanapenda kuzisikia,
 
Ningekua ndio mm hapa ningepunguza kwa mchepuko wa mzee pama maana irene kashatoa ahadi ya kusaidia ujenzi

Jane lazima anatoboka sana tu ukicheki Insider ndo kila kitu kule Mbweni, msimuliaji hawezi andika kila kitu.

Mambo tunayoambiwa hapa ni machache sana, kuna wale ambao hakutaka kuwaandika, alisema anadeal na watu waliokuwa na impact kwake.
 
Kama ningekuwa mimi ndio Melo basi nyuzi kama hizi ningeweka na matangazo humu humu ndani, halafu awalipe since viewers ni wengi.
Changamoto labda itakua ni story ipi itapata attention kubwa ili iwekewe ads lakini hata bila ya hivo tayari kuna ads zipo humu naziona za CRDB bank na mitandao baadhi ya simu so labda kama ni kuongezea tu wengine zaidi ila sasa zisiwe too much tutaukimbia mtandao

Issue ni kwamba JF waje na sera ya kwamba content creator yeyote yule atakayeweza kufikisha views let say 1mil wao watalipa kiasi fulani let'say 100k maana na wenyewe watakuwa wameingiza pesa ya kutosha tu hapo na kadri views wakiongezeka na mpunga uongezeke kwa kiwango hicho hicho.

So kwa kuanza wakae chini na hawa content creators kwamba kama mtu ana story yake asimulie ila ikishafikisha tu 1mil views tunakaa mezani tunawekeana utaratibu kwamba kila baada ya muda huu ontime aweke Muendelezo kama story yake haijaisha hii kwanza itaondoa malalamiko ya sisi wateja wao pia maswala ya kuwapigia magoti hawa Ops kuomba Muendelezo of which naamini wengi sana hatupendi hii kero

Imagine unafikiri ni wangapi wameamua kushit hii thread baada ya hii kero ya kubembelezana kuomba muendelezo wa stori? Hapa anayepata hasara ni JF wenyewe so waliangalie hili suala.
 
Maoni yangu...

1.Kimaadili ni tabia isiyokubalika kabisa, sidhani kama Mtu ukiwa na akili timamu unaweza kula au kukubali kuliwa mtu aliyekula Dada na Mdogo mtu.

2.Kiimani - viungo vya uzazi vinapokutana maana roho za wawili zinaungana, sasa jiulize unayezini naye ana roho ya aina gani, kama ana roho ya mafanikio fresh jichanganye ubebe roho ya mikosi ndio shida itakapoanzia.

3.Kiafya - kitendo cha kukutanisha via vya uzazi inaweza pelekea kupata magonjwa ya kuambukiza, mbaya zaidi jamaa anaonekana ni Mzee wa kavukavu, sasa wewe mfuate jamaa uyavae magonjwa yasiyotibika.

4.Kikawaida - imeonyesha jinsi akili za baadhi ya kina dada zilivyo finyu, tizama Iryn kajua jamaa ana mke, kajua jamaa anatoka na Sumaiya, kajua jamaa alimtia mtu mimba still na yy anaingia humohumo, huu ni ukichaa narudia kusema hata kama moyo unapenda narudia kusema ni ukichaa.
Mkuu hiyo no.2 sijakuelewa , sasa utajuaje kama ana roho ya mafanikio au mikosi?
 
Acha kupotosha Umma kwa ufinyu wako wa Maarifa.

Mungu mwenyewe muumba wa mbingu na vyote vilivyomo ameamuru kwenye Vitabu vyake vitukufu Juu ya Waume kuoa zaidi ya mke Mmoja isipokuwa tu kwa kuzingatia taratibu za kiuadilifu.

Halafu hizo takwimu zako unazotoa hazina uhalisia ni Unataka kufurahisha Genge tu hapa!

Biologically females ratio to male Huwa ni wake wengi wame wachache.
Na wewe hata kama ndio hujawahi kufuga basi tuseme kuku .....Jogoo huwa ni wachache na mikoo/kuku jike huwa ni wengi interms of ratio ndani ya banda ulishawahi kujiuliza kwanini?


Other point ni Kwamba Kati ya Male na Female nani anakwenda Period Kila Mwezi ?
Hii inamaa kuwa zidi siku zinaenda na umri humfanya Female kupoteza thamani yake kutokana na Kuikaribia Menopause/Ukomo wa uchavushaji mayai ya uzazi.
Ambapo kwa Mwanaume ni tofauti kabisa yeye zidi umri unakwenda ndio ankomaa zaidi maungo yake ya uzalishaji mbegu za uzazi na anaweza kuzalisha zaidi na zaidi hata awe kikongwe.

Sasa Mungu ametuumba kwa Lengo kuja tuzaane na tuijaze Dunia huku tukimwabudu.

Tutaijazaje Dunia kwa Menopause za mke Mmoja ? Kumbuka wazaaji ni wanawake !

Na Ushawahi kujiuliza Dume ambalo liko active Wakati jike Yuko kwenye Gestation period/Kipindi cha Ujauzito miezi Tisa yote ni Kwamba unakuwa umekaa tu mnaangaliana na mkeo ?

Ndio maana ikawekwa unaweza ukawa na wake zaidi ya Mmoja Ili kupunguza chance ya mwanaume kuzini nje ya Ndoa.

Na suala la kusema eti wanawake wawe na mwanaume zaidi ya Mmoja kimaumbile Mwanamke hata akiwa na wanaume 10 kwa mpigo ...mimba atayoshika Moja tu!

Ila mwanaume anaweza akawangilia wanawake 10 na akawapa Ujauzito wote kwa mpigo !

That's nature.... you guys females msipingane na mifumo ya Mungu !
Vitabu vitakatifu vipi hivyo vitaje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudadekii zenu wotee humu,,,,hatimae nimemaliza sasa...!!!

Viazii mbatata nyiee[emoji124][emoji124]
 
dogo analeta ujuaji kwanin asiambiwe ukweli ,Sasa Hana sababu yoyote ya kuchelewesha story hi Basi tu anatafuta umaarufu Hapa jf

Aache ujinga amalize story Ana vizingizio vingi Mara junior anaumwa Mara nimesafiri Mara najiandaa kusoma masters Mara Alisha andika Hana Muda wa kureview Ni kwamba jamaa Ni Totally Ni muongo muonho
Kwani wewe unaishi nae?. Unajua changamoto zake?. Hata kazini tu kwenye mshahara watu wanashinda ksbb ya changamoto za kimaisha. Yeye anawaletea free bado kichwani hamnazo. Huwazi?. Kwani hamna kazi zingine za kufanya kutwa mnashinda humu?
 
Back
Top Bottom