INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
- Thread starter
-
- #9,901
Kila mtu ana mtazamo wako kwenye kila kitu mkuu... nilishawahi yakimbia mahusiano baada ya kujua kuwa mupenzi nae ana mupenzi wake[emoji23] ila ya sasa hivi nakomaa nayo mana mostly wapenzi wa mupenzi wananikuta ko simwachi mtuu
Swali langu ni kuwa unampendaje mtu ambae tayari yupo kwenye mahusino na mtu ambaye unajua kabisa hata iwaje hawezi kumwacha??
Me, Iryn..Who is your favorite character in the story? So far and why?
You my friend. Kwanza Uko vizuri kwenye kupambana.
Pili nilichojifunza zaidi kizuri kwako huna tamaa. Kwa hiyo tamaa inajikuta inakufuata yenyewe baada wewe kuikataa.
Kwanza tukianzia kwenye Ubber katika wateja wako wote uliokutana nao kufanya nao kazi. Hapo vijana wengi wangekuwa wameshaharibu. Iwe kwa kumpiga zaidi ya bei ya kawaida kwenye usafiri,maana kuna muda ulikuwa unaachiwa useme ni kiasi gani ktk mizunguko yenu,lakini mwamba ulikuwa unacheza fair unawaambia nauli ya kawaida bila kuangalia uwezo wa mtu. Kuna muda ulikuwa unawapa fair kabisa kwa kuwaambia leo nauli nimesamehe. Hicho kilikuwa kinawaachia maswali sana. Na kimekutengenezea uaminifu sana.
Mfano mzee Pama,ingekuwa kijana mwingine angekuwa ameharibu kitambo kwa huyu mzee,iwe kwa kumuomba omba hela hasa pale ulipopewa uhuru wa kusema chochote utakacho. Kwa mzee Pama ulicheza sana.
Ukija kwa Iryn hujafanya haraka kabisa kama hutaki vile. Kuna muda amekutega sana iwe kwa pesa kukuangalia au kivingine. Lakini mwamba hukuniangusha,umecheza kama Pele. Pamoja na kujirengesha kila mara,lakini ukawa unamkwepa kila mara. Ukasubiri muda muafaka. Ukasubiri muda yeye mwenyewe atengeneze njia ya wazi na aseme kwa sauti na mwisho amesema hapo ukafanikiwa tena kwa kiasi kikubwa kumfanya awe weak kwako kwa hali. Umejijengea uaminifu mkubwa sana kwake. Hongera sana.
Pia ukija kwa wengine kama Mbotswana, Prisca,Jane,Mary,Sumaiya. Umecheza kwa nafasi yako murua kabisa. Hukuikimbilia kuichagua tamaa. Tamaa ndio ikawa inakutafuta yenyewe.
Kwa ujumla kuna mengi ya kuelezea kuhusiana na hii FILAMU,lakini naona nitawachukulia muda. Kuna mengi sana ya kujifunza
Nasemaje MUNGU anijalie tu nipate maokoto, Hii ni bonge moja la series. BONGE MOJA LA FILAMU.
BIG UP SANA INSIDER MAN
Junior hana bayaWho is your favorite character in the story? So far and why?
Bimkubwa wako japo hajaonekana mara nyingi ila kuna namna alikuwa ananikosha na ushauri wake juu ya matatizo uliyokuwa ukimpelekea.
Nasema hivyo sababu bimkubwa wako anaplay role yake vizuri kama mzazi kuhakikisha mwanae hapati madhara ya walimwengu.
Ukimtoa huyo aisee irene amecheza part yake fresh kwenye hili muvi as among the main characters na huwa kila nikijaribu kumuimagine sipati picha namna alivyo.
Ukimtoa huyo wengine wamecheza characters zao vizuri ikiwemo wewe japo ilibidi matukio mengi ujihusishe wewe sababu wewe ndie narrator wa story.
All in all big up movie lako lina hadhi ya kwenda manetflix .
Mama junior is very innocent,but the way una mchit is not good at all,...
Junior hana baya
Ni yeyePicha nayovuta ya Iryn akiwa ametoka kuogelea. INSIDER MAN nipe marks kama anakaribiana na huyuView attachment 2787125
Saliva is a natural lubricant.Unampaka ryn mate ili kuingiza mkuyenge wako ewww we nae kumletea fungus tu hio michezo ya vitoto sio wakongwe kama wewe
President suit .Bei zinategemea na msimu. Wakati wa watalii wengi zinakua juu. Pia inategemea aina ya chumba unachotaka. Mara ya kwanza nilienda mara baada ya corona kupungua hotel zikafunguliwa nikapewa discount usd 500.
Kuna vyumba Hadi vya usd 10,000. Sijui wanaita suit takataka gani.
Monk ni hapa JF Mkuu, kama wewe ulivyo muuza ubuyu hapa. Lakini uraiani nna familia kabisa. Nilitamani tungekua na wife ratiba zikagoma.
Hata wahudumu wakawa wanauliza kwanini nipo peke yangu? Kidogo tuyajenge na mhudumu mmoja ndio nikakumbuka mie ni The Monk
Hawa Melia hata Ile ya Arusha wako vizuri. Sio mpenzi wa kula sana ila Hawa jamaa ukienda kwenye sehem ya vyakula unachanganykiwa. Ngozi ilinawiri siku mbili tu.
Melia Arusha
View attachment 2786962
View attachment 2786963
View attachment 2786964sikuwa na mpango nilibahatika baada ya Qartar airline kupata hitilafu kili airport Mzee tukafaulishwa Meliá, mkuu kama ulivyosema kwenye menu ni balaa everything is scrumptious man nilitamani nile desert Tu mwanzo mwisho. Napanga nilaibukie rasmi japo 3 days
Mmh una balaaaa ww 🤣....adi mafuta unayajua vizuriSaliva is a natural lubricant.
Muosha huoshwa.What if kama na yeye ananicheat? [emoji23]
Katoboa pua! Tupa kule!Picha nayovuta ya Iryn akiwa ametoka kuogelea. INSIDER MAN nipe marks kama anakaribiana na huyuView attachment 2787125
itoshe kusema we ni kiazi, periodAliyesema ivyo ni insider ndo alimwambia Iryne baada ya jana kutokupiz wakati wanasex. Kuwa makini mkuu kusoma story