Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

N
Namie nikopi na kupaste please
 
Who is your favorite character in the story? So far and why?
1)Mama insider man: mana anaonyesha anamaombi makali yanayofungua njia za Insider man
2)Mama J : ni wife material kampa insider utulivu wa moyo na akili angekuwa mswahili yan hata huyo Irene angeshaletewa noma mda sanaa .
3)mzee pama
4)Lucy: fundi mitambo na chawa pro max kahakisha mission inakuwa rahic.
5)insider man na irene : hawa ni washenzi wawilii walioelewana.
6) mim niliesoma hii story neno kwa neno mstari kwa mstari bila kuchoka tena mda mwingine had usiku wa manane

Waliozingua zaid
1)muajemi
2)muajemi
3)Muajemi : huyu anahela ila hana akili anaendeshwa na kichwa kidogo
4)Insider man: umechelewa kula tunda mapema sema mwishon ukatisha ila ungepishana nalo ungekuwa mzinguaji zaid ya muajemi mana ungeleta matatizo makubwa kwa viumbe wengine wasio na hatia.

Nawasilisha.
 
Hatariiii πŸ”₯
 
Kwasisi walevi yale mapazia juu pale unayashushaje,?
Au mpaka uliwe na mbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…