Mimi siko kwenye ndoa sasa[emoji3],
Mfalme Daudi alizini na mke wa mtu sindio?
Duuh ndo mejua leo hiki kitu au umechanganya mkuu😅kwa kikakoliki kuzini ni kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ila ukifanya ukiwa ndani ya ndoa ni Uasherati
Ila ndugu yetu kidini hujamuoa mama J ila kimila ni mkeo lakin maandiko hayo hayo yanasema “lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa” kwa macho ya kibinadamu sio mkeo wa ndoa ila kirohoni ni mkeo mana wewe mwenyew unakubali kuwa ni mkeo
Tulia jogoo[emoji3]Yaaan mnakazana sana kuhusu urembo wa iryn[emoji38][emoji38]
Umesahau prisca alichakatwa parking mkuu 😂
Nilikua naona kitambo Sana nkawa nashindwa kusema tu😅 nlicomfirm hayo yote baada ya kuaaldertery nae garden alooKwa Prisca mlikuwa kimya ila kwa Iryn haya yameanza kutokea why?[emoji3]
Duuh ndo mejua leo hiki kitu au umechanganya mkuu[emoji28]
Post. Addition kuhusu jambo ulilo mfanyia mzee PamaNever seen before [emoji119][emoji119][emoji119]
Kwani ni shule ya msingi au sekondari anaenda??Aende shule na ujauzito? [emoji848][emoji2371]
Si utoe marks jibaba [emoji23] [emoji23]Naona mnahangaika sana, picha za IG hizi. Iryn huwezi mpata huko asee, [emoji3]
Nope fatlia vzr umeenda vice versaKwa tuaokumbuka mafundo ya komunyo na kipaimara maelezo ndo yalikua hayo hayo mkuu uasherati ni kuzini ukiwa ndani ya Ndoa
Purukushani zilikua nyingi sana, mdada alikaa mahabusu mwaka na miezi, huyo muathirika ndo akawa mama mjengo maana familia yake iliwasusia sema mahusiano yao hayakudumu sana wakaachana ila familia ya mwanaume ikachukua jukumu la kumuhudumia wali mjengea na biashara walimpa mpaka sahv ana maisha mzuri tu, sema ndo hvo reception imeharibika.Naomba muendelezo wa mashtaka na kisasi cha[emoji33] aliyemwagiwa mafuta
OkHamna mkuu,demu kisu anajitenga kwenye kuonekana wa kawaida kwa mwanaume rijali yoyote. Anaeweza kuonekana wa kawaida kwa wengine na kwa wengine mzuri ni hawa wa kawaida. Lakini wapo mademu visu,visu kweli kweli. Kila mwanaume mwenye utimamu lazima amuone mzuri.
Nope fatlia vzr umeenda vice versa