Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

kwa kikakoliki kuzini ni kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ila ukifanya ukiwa ndani ya ndoa ni Uasherati

Ila ndugu yetu kidini hujamuoa mama J ila kimila ni mkeo lakin maandiko hayo hayo yanasema “lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa” kwa macho ya kibinadamu sio mkeo wa ndoa ila kirohoni ni mkeo mana wewe mwenyew unakubali kuwa ni mkeo
Duuh ndo mejua leo hiki kitu au umechanganya mkuu😅
 
Hakuna kitu kinauma kama kugundua mwenzako ana mchepuko ila hakuna kinachouma ndani ya Ndoa ugundue mchepuko wenyewe ni mtu wako wa karibu, anakuja kwako anacheka anakula kwako hiyo kitu isikie tu Kwa mwenzako. Yaani unakuwa na feeling yaan alikuwa ananisanifu muda wote....Duhhhhh walopitia tu ndo wataelewa...
 
Mpwa INSIDER MAN umeuheshimisha sana ukoo na wazee wa kimila wamesema wanaendelea kukupa baraka zote japo mwanzo uliikera hadi mizimu kwa tabia zako za kupaisha mipira wakati umebaki wewe na lango liko wazi, endelea kuichakata na kuifumuafumua hiyo mbususu yenye asili ya kigeni
 
Naomba muendelezo wa mashtaka na kisasi cha[emoji33] aliyemwagiwa mafuta
Purukushani zilikua nyingi sana, mdada alikaa mahabusu mwaka na miezi, huyo muathirika ndo akawa mama mjengo maana familia yake iliwasusia sema mahusiano yao hayakudumu sana wakaachana ila familia ya mwanaume ikachukua jukumu la kumuhudumia wali mjengea na biashara walimpa mpaka sahv ana maisha mzuri tu, sema ndo hvo reception imeharibika.

Jamaa baada ya kutanga tanga alikuja akarudiana na mkewe(aliye fanya tukio) mpaka sasa wapo pamoja
 
Hamna mkuu,demu kisu anajitenga kwenye kuonekana wa kawaida kwa mwanaume rijali yoyote. Anaeweza kuonekana wa kawaida kwa wengine na kwa wengine mzuri ni hawa wa kawaida. Lakini wapo mademu visu,visu kweli kweli. Kila mwanaume mwenye utimamu lazima amuone mzuri.
Ok
 
Nope fatlia vzr umeenda vice versa

Nimefatilia mkuu na nimeona kweli

IMG_3604.png
 
Kwaambao mnakazania kazini mara amefanya uasherati,

Nasemajee, kwaambae anauahakika tangu jua limechomoza mpk kuzama hana dhambi na awewakwanza kumhukumu,kumbuka hakuna mwenyehaki kweny hii earth

Kikubwa ni kutubu tu kadri uwezavo,hiyo ndo inaitwa grace muenauwelewa wandugu.
 
Back
Top Bottom