Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Upo vizuri kisheria MChumi wetu[emoji28]
 
Kutoa mahari ni kufunga NDOA YA KIMILA. hadi hapo mila na desturi zimefuatwa.
 
1. Una separate vipi kama HAKUNA ndoa?

2. Una DIVORCE kitu gani pasi na Ndoa?
 
Nmependa jinsi mama j anavyokusikiliza na kukutiii
Ni mwanamke asiye na makelele na anapenda maelewano na anajali zaidi amani yenu wote wawili kuliko red flags anazoziona kwako.
Sasa usichukulie poa utulivu wake kwa kumpiga matukio.
Hii ni moja ya sifa za mke mwema, wake kama Mama J wamebaki wachache kwa nyakati hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iryn nimekuja sasa naona mnaniita huku na kunitafuta. Nimekuja mwenyewe sasa.
 
@INSIDER MAN respond kwa huyu ana mzigo wako, ameguswa na fundisho kupitia story ya maisha yako japo kwa ufupi, so anataka akupe japo shukrani yake. Binafsi nimependa sanaaa sio mijitu inakuja kuomba hela sijui picha ya Iryn
Watu wanaomba hela 😳 😳
 
Hajaachana na mimi, ila mimi ndio nilimuacha huyo dereva wa uber
 
Iryn ni wivu tu unamsumbua hakuna upendo wowote kwa mwanamke mwenzie. Wanawake hamna huruma na yeyote linapokuja swala la mapenzi. Msikilize Sumaiya alivyokuwa anajiapiza kuwa lazima ampate mwamba
Unikome sina wivu na mtu asiye jielewa kwanza ni Uber driver tu.
 
Sina ugomvi na sumaiya kwanza maskini tu yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…