Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mkuu me naona uilete tu hiyo story yako usisubirie insider kumalizia Kwa sababu Nina uhakika hi story yake hawezi kuimalizia for sure, Kwa kifupi akiimaliza hii story niite mbwa nimekaa pale[emoji117]
 
Mkuu me naona uilete tu hiyo story yako usisubirie insider kumalizia Kwa sababu Nina uhakika hi story yake hawezi kuimalizia for sure, Kwa kifupi akiimaliza hii story niite mbwa nimekaa pale[emoji117]
Ni kweli insider hataki kumaliza hii story jamaa anavuuuta hadi inaboa. Naona anafanya makusudi ili viewers waongezeke kumbe yeye hajui kwamba hakuna viewers wapya ni wale wale tu wanafanya kuchungulia waone kama kaposti chochote. Umaarufu umekuwa mkubwa mpaka atagombea na ubunge wa jf kabisa tehehe
 
Hongera San Kwanza una akili na unalewa mambo ya msingi

Good boy

Ajira utapata haraka sna na hiyo llb yako
 
Mbona unamaindi kwa ishu ambazo hazina faida hata kwa Wanao. Kumaindi madini mbuga gesi bandari tanesco kusuasua huwezi. Ila Africa kwa anasa ,miziki na ngono tumebarikiwa, we need to recolonize
Yaani humu watu wanamaind vitu vya kawaida tu. Sasa mwamba kalete story burudani tu. Tena bure bila hata mia kulipia,lakini wanataka kila masaa awe hapa anawaburudisha kama watoto vile.
Hawajali mleta story ana majukumu yake.

Kwa ajabu kabisa kuna siku mwamba ametoa udhuru mtoto anaumwa lakini watu wakawa wanafoce alete mzigo. Hawajali habari za mtoto.

MWISHO WA SIKU UNAJIULIZA HAWA NINAOWABURUDISHA BURE NI BINADAMU WA KAWAIDA KWELI?.

Ndio maana wengine wanaogopa kuleta story au wanaishia njiani. Kuleta story humu uwe na roho ya chuma, vinginevyo uwe umejiandaa kisaikorojia,kama mwamba hapo,anajua tabia za wengi humu anaondoka nao hivyo hivyo kimaster. Hongera kwake INSIDER MAN
 
You gotcha ma point nigga. Mtu hata badala achukue kitabu ama novel asome apate japo maarifa yenye mafundisho. Ama aicheki hata namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeungua na Moto wao wanajua kuwa Ni kazi ya daktari
 
Alafu ukute mwana ametulia anakula Heineken zake pale anaangalia raia mnavopapatika tu😂😂😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Huu ndio ulikua muda muafaka wa yule jamaa anae post picha za irene na wakina prisca kutufariji huku tukisubiri kuona hatima ya huu uzi
 
Nani aliwajaza huu ujinga kwamba ndoa ya bomani sio ndoa???
Hapo kwa Mungu unazini mkuu,si kujazwa ujinga.ni mtazamo tu,sio lazima tulingane mitazamo,ndo maana na dini na madhehebu pia tunatofautiana lkn ktk maisha tunashirikiana.
Ndoa ya dini ina miongozo yake kwa kila dini,na hakuna dini inakubali ndoa ya Bomani that means ukifunga Bomani ni ndoa sahihi kabisa sema tu inatambulika kiserikali na jamii inayokuzunguka ila kwa Mungu unazini mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…