Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nipo kwenye ndoa nimekuwa nikisoma tu lkn naona na mm limenikuta.

Iko hivi wife na mimi tulifahamiana kijijini. Nilikuwa f6 yeye akiwa f4 leaver. Nilimsaidia akapata chuo cha takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wkt akiwa chuo nliamua kudate nae tukaoana(marriage) nikiwa nafanyakaz nayeye akiwa chuo.

Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri. Maisha yaliendelea nikiwa kazin na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini.

Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nilii injoi ndoa labd kw sabb ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani.

Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na wants. Tuliishi vzr kwa wastani wa miaka 5. Baadae mzaz wake yaani mkwe aka experience wkt mgumu(code). Tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubw wakaon washirikianr wote. Kwa kuw wife nde mwenye kipato kizuri akakopa banki 27M lkn nyumba haijaisha.

kero ikaanz sasa. Kila wkt anataka pesaro ya ujenz kwa mama mkwe. Kumbuk yule ni mzee ile nyumb watakuja kuhombana watoto nikamwambia ujenz hauishi siku moja. Buy time.

Majuzi alipata bingo ofsn kwao 20 Mil ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kid uchumi.

Lahaulaaa si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.

Wana jf wenzangu kumbuk si kwamba sisi na watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada,nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke 20 kwao? Mwanamke kiumbe wa ajabu sana.

Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumb watagombea vidume??

Niko puzzled. Epuka kusomesha mchumba
 
Acha mahaba yaendelee....
 
Mkifunga za dini nyie inatosha... acheni watu wahalalishe mahusiano yao kwa njia wanayoona sahihi cha msingi cheti, muhimu upendo, familia kusonga mbele na kuchagua watoto wafate msingi wa imani ipi. Hayo mengine watu watajibu kwa Mungu wakifika huko.

Binafsi siwezi acha kujenga maisha na mwenza niliyeridhika nae kisa dini
 
Mkeo ana utoto mwingi.... ukishakua na familia yako na watoto juu, kipaumbele cha kwanza ni mwenza wako na wanao, ndo mzazi anafata.
Huwezi kujali kwingine (tena wako wengi) huku kwako kuna mahitaji hayajaisha.

Na wewe fanya kama vile unajali kwenu ( huku ukiweka kibubu) fanya maisha yawe magumu hapo nyumbani labda ataelewa
 
Ndoa ni nini mkuu. Maana najiiulizaga wale watu wazaman mwanzo kabsa walifungishwa ndoa na mchungaji yupi..? Na je nibatili.? Afu nitatoa mtazamo wangu mni sahihishe labda kuna jambo sijalielewa vzr
 
Propaganda tu hizi ndugu...
Watu kibao wanakosa kuwa na familia na watu waliowapenda kisa udini.
 
Propaganda tu hizi ndugu...
Watu kibao wanakosa kuwa na familia na watu waliowapenda kisa udini.
Kabisa mkuu. Dini ni muhimu zikihimiza upendo kwa wote tutaishi kwa aman na furaha bila kuchukiana
 
Ulisomesha mwanamke aliyekuzalia watoto hapo hakuna hasara. Jambo la msingi kumbuka pesa ya mwanamke haipangiwi bajeti ni mpaka aamue mwenyewe. Ukitaka ndoa yako iwe matatani anza kuuliza pesa ya mwanamke.

Mwache afanye anachojua na pesa yake wewe hangaikia mstakabali wa watoto na usijisahau wewe binafsi kujipongeza na kujiburudisha
 
Ungeiweka tu wazi hapo asisahau kula kitimoto na Castle lite za baridi 6!
 
Wananwake wengi wana akili za kushikiwa. Kuna mama mmoja alijenga nyumba Rombo, mgao ulivyopitishwa wa eneo ikawa kajenga kwenye eneo la kaka yake.

Ikabidi aache nyumba kwa kaka mtu.

Stupid, kabisa. Angeangaikia watoto wake wasio na baba akawajengea mazinguira. Ila yote kuna mambo ya kujifunza
 
Nitarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…