Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tuwe wapole,naamini jamaa ataimalizia hii story bila shida.
 
Extra ya USD 10 000 ni lazima ku declare. Watu wanabeba sana kwa magendo.
 
Na hii sheria imewekwa ili kukabiliana na illicit financial flows.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi ndugu zangu kwavile mwenetu hatumuoni tuanike matanga then after 3 days tuanue tujue mwana alishaenda
 
Mungu au ni mitazamo ya binadamu.
 
Propaganda tu hizi ndugu...
Watu kibao wanakosa kuwa na familia na watu waliowapenda kisa udini.
Upuuzi ni mwingi sana. Watu wamekomalia dini utadhani wana uhakika kuwa dini zao ni za kweli. Nchi nyingi ndoa zinafungwa na serikali, kanisani au msikitini mnaenda kubariki na sio lazima.
 
Naona wadau mmeimisi chai [emoji23][emoji23] watz bana kueleweka ni ngumu sana jamaa akijitahidi kuileta mnasema chai aache kuwafanya watoto ....

Sijawahi jua kama hata chai huwa zinakua na arosto kali hivi [emoji23][emoji23] raia hamuelewi kabisa mmechafukwa.

Let's learn to appreciate hata kwa vidogo tulivyo pewa .

Pia muandishi kaonesha kutujari sana lkn sisi hatuja onesha . Kina mdau hapo juu kasema muandishi mara yake ya mwisho kuonekana humu ilikua tarehe 31 mwezi uliopita hadi leo hajaonekana hivyo kama member mwenzetu tungeachana na story kwanza tujue hali ya muandishi ipoje ndio tuendelee jaman sisi bado ni binadamu sio wanyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…