Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tukisema wanaume wameisha ndo hvi yani mwanaume kufanya lolote aongwe pesa ya kike
 
sawa mkuu tunachoogopa ni marinda yeny tu kama mnaweza kufanya lolote mpate kitu
 
Depreciation= (Value of Asset - Residual value)/Useful life. Only legends can understand this.
Njaa tu na uoga wako stand ur balls mwanamke kakupenda acha unyonge na kunyanyaswa weka kibesi sio unafanya vitu mradi yeye aridhike kiti unakondea ndani kwa ndani unapelekeshwa unaleta issue za uchakavu hapa. Mkuu ni vile hii kitu ni ya kutunga ndo mana nakubaliana kutokubaliana. Otherwise tushushie vitu tuipeleke mvua long weekend
 
We jamaa huwezi kumuelewesha mwenzio vizuri mapaka umuite Masikini?
 
Mimi Nampa big up Sana insider kwa maana na kwa jinsi anavyolicheza game Yuko makini Sana, mistake ni ndogo ndogo Sana na pia ni zakibinadamu, kwa namna Insider anaweza Ku handle hizo harakati na awo Wadada jamaa anajitahidi Sana,Bora ukomae na Boss lady anayejitambua iryne...siyo wakina Asmah, lkn wakijichanganya kula vitu baharia...hizo ndo kazi za vidume
 
Kwa namna Insider anavyocheza na awa mamanzi ni dhahiri kwamba wanawake washakuwa wengi Sana na wanaune tushapungua Sana kiasi kwamba, ukijiweka smart tu Mzee baba, unaweza miliki Manzi kibao Sana Tena ambazo zipo Smart kichwani na beautiful na Zina pesa ...siyo zile chafu chafu km za kule kwa mpalange.
 
ukichangia tu mawazo yako bila kutukana wanawake ujumbe wako hautofika?
 
Pole sana mawazo kama yako ni ya utoto ambayo mtu mwenye familia hawezi kuayawaza au mtu ambaye Amersham maisha ya baba na mama home hawezi hawaza ushenzi wa mtu kuchepuka aharibu maisha yake ya ndoa aliyoyaanza na mwenzie roho mbaya yangu ni kusimama upande wa mama j? Pole sana kwa kulelewa na msimbe ndo maana huoni anachoweza kukosea kwa mama j na mtoto wao
 
sawa mkuu tunachoogopa ni marinda yeny tu kama mnaweza kufanya lolote mpate kitu
🤣🤣 Swala si kuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kupata kitu bali kuna angle wanaume tukinasa jinsi ya kuchomoka hapo ni mpaka bulldozer lije. Na huwa haihusiani na pesa.
 
endelea kuota hapo ghetto. Maisha si muvi unazozitengeneza kwenye akili yako au unazoziona.
 
Tukisema wanaume wameisha ndo hvi yani mwanaume kufanya lolote aongwe pesa ya kike
Wivu.Sio wewe unaeongea,ni tabia za kimasikini zinakusukuma. Umasikini hata ufikiri unapungua. Ndio maana vijana wengi sana Tz wanamchukia Diamond. Ukimuiliza sababu atakuambia anaringa. Ukimuuliza umekutana nae wapi?. Hajawahi hata kukutana nae. Mwisho wa siku ukimchimba zaidi unakuja kujua ana hasira sababu ni wivu na yeye ni masikini
 
Sa
Wa mkuu wivu ni kidonda nikishiriki ntakonda ila sitaacha kulinda marinda yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…