Shaggy aliimba wimbo "Strength Of the Woman" na wengine women's power na dunia inawatumia wanawake ili mambo yawe rahisi au yafanikiwe. Hakuna mwanaume mwenye nguvu mbele ya mwanamke mkuu na kwenye maisha ya kila mwanaume huwa anatokea mwanamke mmoja ambaye huwezi pindua kwake na si lazima awe mke wako. Tena anaweza asiwe na sifa nzuri kama mke wako ila ndio anakushika masikio. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Jaribu kukumbuka kisa cha Pastor wa Kawe alivyotulizwa kupiga kelele kuhusu kiongozi wa mkoa wa Dsm
If you're a big man you can understand what
Insider Boy is going through. Kwa huyo mwanamke alihitaji kuwa smart si kukurupuka.