Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hahahahaha na jamaa yaani angetaka mzigo Angepiga safi kabisa bila kuhonga.

Kitimoto ya buku 20 pale Juliana basiiii mtu analiwa.

Wewe unakuja na mivitu ya milioni 40 [emoji1787][emoji1787]
Mivitu yote hiyo ni intro tu yaani hata manzi bado hata haja mfikiria mchizi [emoji16][emoji16] Luna muda pesa ni matatizo tu ila kismat ni kila kitu
 
Mkuu wanawake wenye Pesa wanapenda vitu vidogo vidogo sana, kama Iryn alikua na pesa. Huwezi kumshawishi kwa pesa kabisa, Iryn nilikuaga namfanyia vituko sana na alikua anafurahi sana.
Naijua hiyo man hawa watu bana [emoji16][emoji16]
 
Watu wanaamini hii ni true story ya kweli yaani,

hakuna kitu kama icho....sema jamaa anajua kutunga hadithi....leta hadithi mkuu unajua kutunga sana.

Hivi true story nyie mnazijua kweli yaani muajemi akanipa milioni 5 alafu akaniongeza na milioni 2 😅😅😆😅😅 you guys na nyie mnaamini kabisa.....

hivi mnakumbuka jamaa alipewa milioni 3 mwanzo kabisa na muajemi.😁🤣😂 afu muajemi ampe demu vitu vya thamani ya 40milions hapo bado mashine za kisasa zilizopo dubai zinakuja...... demu naye hataki iphone 13 kamuachia msela, na msela naye hataki iphone 13 pro 😆😅😅😅😅😁😁muajemi mwenyewe hata papuchi hataki kweli....

mama alianza kazi mwaka 91 na alikuja kulipwa milioni 45 kwa mwezi na organization X nchi hii hii ya walala hoi.....too much salt....too much sugar..... too much alcohol.....stori za kutunga hizi.....

Hakuna true stori ya hivi ila unajua kutunga sana....mbotswana pia alilala appartment za milioni 3 per month mswana mwenyewe ni black melanin afu jamaa kamezea hakula 😁😁😁

Wewe hunaga gundu kabisa yaani.
 
Off course hata mm nimegundua hilo funika kombe mwanaharamu apite.


Vitu vingi sio uhalisia .

Yaani.mtu Ana mabiashara ya mabilion kutwa yupo kwenye Ka ist ka mshikaji.
 
bahati haiji easy hivo mwenzio anatengeneza mazingira ya kubahatika
 
Off course hata mm nimegundua hilo funika kombe mwanaharamu apite.


Vitu vingi sio uhalisia .

Yaani.mtu Ana mabiashara ya mabilion kutwa yupo kwenye Ka ist ka mshikaji.
Ist kabisa afu demu anamfungulia codes zote za personal life yake 😁😅🤣😅😅😅 mara nikamshika kiuno iryn kwa muda wa dakika 10 hivi iryn alibarikiwa sana nikamuaga nikamwambia tuonane kesho LMAOOOO 😆😆😆😆
 
Ulijuaje km gar ya mama janeth alinunua zero km?
 
Nimesoma story nyingi Sana.

Kiukweli mwanzo ilikuwa ni stori ya ukweli Ila baada ya kuona Ina mashabiki wengi akaanza kuongeza chumvi.

Yaani haina uhalisia wa maisha ya kawaida .

Kupewa million kwake ni kitu cha kawaida.

Wateja wake wote wazuri hajawahi kupakia demu mbovu.

Yaani yeye kupewa iPhone 13 kawaida ,Mara kapewa kwenye bahasha laki 3 Mara .


Tips kwenye Hii stori zimekuwa nyingi Sana kuliko hata kazi.


Kiukweli hii fiction acha tuone mwisho unakuaje.
 
He is tell lies to us, kazi nazo akifanya hakosi doo lakini ukweli ni kuwa amewahi au anafanya biashara ya uber ila stori katunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…