Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Punguza kutoa USHAURI kama wewe sio mjinga toa stori yako ya ukweli tutakuja kuisoma.

Unachotakiwa kufanya ni kutuondolea nzi hapa. tuache sisi tunywe hii chai kwa bagia. wewe nenda kanywe wanzuki kwa mabumunda.
 
Watu wana wivu na maisha ya watu. Unakuta kama ugali mchana haelewi anakuja iutoa nyongo ugali ushuke. .
 
Aisee hii ni hatari huna hela hata akili ya kupambanua mambo nayo hauna???
That's life bro. Watu wanapenda wengine waishi kama wao.

Kuna kipindi nilipata kazi kampuni inalipa mshahara mnono, kila mtu akawa ananishauri anataka niishi wanavyotaka wao.

Wengine wanadai ninunue gari, wengine fungua biashara, wengine kiwanja, wengine oa....kila mtu anakushauri kiuhalisia ukicheki anakishauri kwa mahitaji yake not yours
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…