Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Punguza kutoa USHAURI kama wewe sio mjinga toa stori yako ya ukweli tutakuja kuisoma.Jamaa mjinga kweli, kuna watu huko walikua wanasema jamaa ana akili za kitoto na ni mjinga. Na mimi naanza kuamini
Inakuaje tena anatoka out na Asmah mbele ya akina Hilda tena anasema Asmah alikua anadeka mbele ya akina Hilda, kitu ambacho Iryn anamaind kila wakati na mara ya Mwisho Iryn alimwashia kuhusu kulala na Asmah
Unachotakiwa kufanya ni kutuondolea nzi hapa. tuache sisi tunywe hii chai kwa bagia. wewe nenda kanywe wanzuki kwa mabumunda.