He has expressed differently in words Ila lengo lake ni kuwa wanaume wanaoweza kufanya ama kuonyesha tabia za kike,mfano kupika,kujipiga marashi,kunukia,kunyoa Ile dizaini wadada wanapenda yaani kwa kiufupi ni kuwa unajiweka ponzi ambalo wanawake wanalipenda ,kuonekana gentleman kwao,kujaribu kuvaa uhusika wao,wakiongea uwe kimya uwasikilize hisia zao.
Yaani Kama unawajua saikolojia yao watakupenda mno.
Yaani ukiwa ponzi Fulani ivi Halafu pia ukishakuwa na mwanamke mkali mno hata kwao,labda let say hata uwe na mzungu hapa bongo hizi k zingine zinakuwa zinajileta zinakubembeleza uzile