Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

So bado upo na Mama J.... Hongera!!!
Washamlainisha kiuno vijana wa mjini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, wanawake wana visasi vby sana...

Nilikuwaga na demu wangu ana kinyaa balaa tukaja tukapotezeana..., tulivokuja kurudiana tena anakula koni balaa na wazungu wakija haachii hata mmoja aende pembeni, woote anawameza... Nikasema lahaulaaaaa vijana wa mjini hawafai
 
He has expressed differently in words Ila lengo lake ni kuwa wanaume wanaoweza kufanya ama kuonyesha tabia za kike,mfano kupika,kujipiga marashi,kunukia,kunyoa Ile dizaini wadada wanapenda yaani kwa kiufupi ni kuwa unajiweka ponzi ambalo wanawake wanalipenda ,kuonekana gentleman kwao,kujaribu kuvaa uhusika wao,wakiongea uwe kimya uwasikilize hisia zao.
Yaani Kama unawajua saikolojia yao watakupenda mno.
Yaani ukiwa ponzi Fulani ivi Halafu pia ukishakuwa na mwanamke mkali mno hata kwao,labda let say hata uwe na mzungu hapa bongo hizi k zingine zinakuwa zinajileta zinakubembeleza uzile
 
Mwanamme kupika sio ushoga rafiki, na utanashati kunukia sio ushoga, yaan ww sijui umekula maharage ya wapi
 
Mkuu umeongea point nzito sana.
Mikasa ipo Mikali sana tunaogopa codes..

Matukio ya INSIDER ni ya kawaida kwa Wanaume flani flani hivi...ndio maana tunakufa mapema.

Juzi tu tumeamua case moja matata...mtu unawatoto tisa na wanawake wakali mbayaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Shetani atusamehe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…